Serikali na Wadau wa afya sikieni kilio hiki cha NHIF

Tulikubaliana tunaifungua nchi na kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake, kelele za nini?
 
Reactions: RNA
Kiufupi NHIF ni suala la muda tu inapenda kufa soon, watoa huduma wengi hasa private wamekaa kiupigaji sana ni muda muafaka serikali ichukue hatua kwa hivi vituo kabla mambo hayajawa mabaya.
 
Haya mambo yapo pia
 
Hakika
 

Suala la usajili wa polyclinic siyo issue, tumeona matumizi ya live registration unatumika. Hizi hizi za live registration/electronic bado wagonjwa ni walewale wengi. Ingawa NHIF pia walikuwa na wasiwasi, ukipeleka wanakwambia " mbona folio nyingi, wagonjwa mnatoa wapi??". Polyclinic moja inaona watu 80-100 kwa siku, huku imezungukwa na vituo vya serikali. Kuna vitu ambavyo vinafanya watu wageukie polyclinic:

1: Huduma zisizotoshereza kwenye baadhi ya vituo vya afya, ikiwemo vya serikali. Ukimuuliza mgonjwa ka nini haujaenda pale, wakati ni karibu ukamleta mgonjwa kama huyu huku mbali? anakwambia mimi pale sipaelewielewi.

Mfano: mtoto ana homa kali au amebanwa kifua, unamweleza mgonjwa ni vizuri kwanza angepatahuduma pale karibu na anapoishi.

2: Wagonjwa wa NHIF kuwa halfly treated kwa watu kuogopa makato.

Mgonjwa ana kikohozi na mafua. Anapewa dawa ya kikohozi na mafua unanikata mojawapo. Kesho akija atapewa mojawapo, mfano: atapewa ya mafua au kikohozi tu. Ili kukwepa makato.

Akiona mambo yanaendelea, anaenda kufanya consultation kwaajili ya dawa ya mafua yaliyoachwa bila kutibiwa. Na hasa haya ya sasa ni kisilani kweli.

Ingawa kuna self limiting flue and cough, lakini kama mtaalamu kafikia kumpa then wewe ukiwa ofisini unakata tu.
Ukiulizwa kwa nini mmekata: Unajibu, nadhani mlikuwa na dawa zinakaribia ku-expire mkaamua kuzitoa au mnatoa sana dawa za mafua(mtu hajui haya magonjwa ni seasonal).

Unashauriwa: tafuta cough mixture yenye multipurpose, of which ziko more expensive.

3: Tunang'ang'ana na STG kama msahafu wakati hutufanyi resistance patterns ya dawa kwenye jamii yetu ili kuwa objective and scientific. Unapataje STG kwa kukusanya tu matabibu bila data zozote kutengeneza muongozo? Hivyo, watu tunanaogelea humo blindly. At least tungefanya zonal wise ili tuwe na ushauri unaoendana na hali halisi. Ukifanya wewe C/S, mnafanya vipimo sana?? Kumbe wewe umetibia na mtu amerufi bila better response.

4: Wagonjwa kutokufanyiwa vipimo wakati mwingine hata kama wanastahili kwa kuogopa makato. Mgonjwa anaelekezwa kituo Y kufanya vipimo kwa sababu kituo B wanaogopa wakifanya vipimo wataishia kukatwa.

5: Wagonjwa kuambiwa hapa hutapata huduma kwa sababu jana mtoto/mgojwa huyu alitibiwa hapa jana.

6: Unapata mgonjwa ana fangusi na muwasho, unampatia combined(antifungal na antipruritus), mtu anakata.

Maana ya:
1: Huyu mtu umpe antifungal peke yake? Kesho ataenda kutafuta dawa ya muwasho??
2: Umwandikie separate tubes antifungal na antipruritus of which is very expensive.

7: Hili litaenda kuumiza tena kwenye form 2C kwa wazee ambao ni DM na HTN au long term/life long illnesses. Kwani wakikosa dawa hizo obviously watakuwa wanafanya multiple shopping ili mpaka watimize idadi ya dawa zao. Hii itakuwa shida sana kwa wagonjwa wenye magonjwa ya kudumu mgano yule ambaye ni DM and HTN aje ku-refill, mpaka abahatike kupata sehemu moja yenye dawa zote. Ni ngumu kuamini kuna hospitali itakuwa na dawa zote za Bp, Dm, Osteoporosis, Pumu, Kifafa nk. Labda kama kila mara utazibadili, kitu ambacho si practice.

Mgonjwa atakuja ana hitaji la dawa ya level S kwenye Polyclinic au Zahanati, kosa la nani hapo? Wakati huo, CO, AMO na MO hawaruhusiwi ku-refill.
Na wao hawajui levels za dawa.

NB: Wagonjwa wengi wataendelea kuzurula mahospitalini kwa expense za hela iliyoko kwenye mfuko. Multiple consultation ili apate dawa zake zote. 🤔🤔🤔

Kuna mambo NHIF inafanya, ni kama kukata mti uliokalia.
 
1 mpaka 5 anayoyalalamikia yapo ndani ya himaya yake. Ni kushindwa kuwajibika tu.
 
Umewasilisha vizuri mkuu
NHIF Ina matatizo mengi ya kiutawala kuliko hayo madai ya kua wanaibiwa na watoa Huduma.
Mkurugenzi anawahimiza auditing/control officers wakat Malipo kwa hali na Mali, wakiwa wanakagua form wanachoangalia ni wapi PA kukata
Ajabu ni kwamba hawa control officers ni madaktar lakini madudu wanayoyafanya
Daktar anakata dawa ya kikohozi ile mucolyn kisa imetolewa pamoja nq Cetirizine au loratadine
Hua najiuliza, hivi huyu daktar akiwa amebanwa na mafua hasa na kikohozi, akipewa mucolyn pekee ataridhia au huwa wanafanya hivi kukomoana?
Ila kwa vile Wagonjwa wenyewe ni ndio kama Hawa wajuaji wasio jua wanataka nini haswa basi sawa
 
Uko sawa
 
Umeongea mambo ya maana sana kam MD wa NHIF ataweza kupitia hapa .
 
Nchi ya majizi hii, nawe jitahidi tu kukwapua hapo ulipo….. hakuna namna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…