Serikali na Wadau wa afya sikieni kilio hiki cha NHIF


πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Wewe utakuwa si mgonjwa umeamua kwenda kununua ugomvi tu kituo cha afya.

1: Ingawa suala la Polyclinic kunyimwa dressing!!?? Sijawahi elewa.

2: Pantoprazole, hiyo utaambiwa kwani hakuna Omeprezole (mgonjwa usichague dawa bali daktari ndiye hukuandikia).
 
Kheri yake kuliko mwenzake NSSF ambaye pesa za watu wanagawana barabarani na wafanyakazi wanazichota huku serikali na viongozi wanajengea makasri na kununua magari huku wenyenazo wakizisikia kwa mbali.
 
Kimsingi hawa Bima(NHIF) wanatakiwa waje na mfumo imara na madhubuti wenye kunyumbua kila kitu na kila mtu ajue/awekwe wazi juu ya huduma aliyopata na aliyotoa.

Huo mfumo umuwezeshe mgonjwa kuondoka na nakala ya gharama ya huduma aliyopata na nakala nyingine kama hiyo ndio iende Bima(yaani Claimed folio na Health facility).

Mfumo inabidi uweze kunyumbulisha level dawa vs prescriber, yaani CO akilog in aweze kuaccess dawa zake pekee bila kuforce kuandika hovyo hovyo kama sasa.

Mfumo pia uweze kuamua aina ya huduma kulingana na jinsia ya la mgonjwa, detail za mgonjwa zikiwa zinasoma ni Ke aweze kupatiwa huduma ya C/S na wala si Me kama CAG alivyogundua. Ishu kama hizi udanganyifu hautakuwepo.

Serikali hii ina mfumo thabiti wa Payroll lakini mfumo wa NHIF ni hovyo kiasi hiki hadi tuanze kunyimwa huduma kizembe hivi. Yaani serikali inamua mfumo gani uwe imara/mzuri na mwingine uwe hovyo hovyo, Daah majanga
 
Malalamiko country...sisi tunaendelea Sana uzuzu kikundi Cha wachache kinafanya watakavyo tunaangalia tu.
 
Kumbe kuna kitita cha Fasttrack a.k.a VIP mko kimya hamsemi...

Hili la mtandao kuzingua mara nyingi inakuwa ni kituo husika kutokuwa na internet imara(limeliona kwa vituo kadhaa vya Afya) ila ukienda vituo vingine au Pharmacy za Bima kule unakuta network iko imara na huduma zinaenda fast.
 
Malalamiko country...sisi tunaendelea Sana uzuzu kikundi Cha wachache kinafanya watakavyo tunaangalia tu.
Sisi ni waoga sana.

Nimeona clips kule Twitter wanaume wa Sri Lanka wanaenjoy kwenye Ikulu yao baada kuivamia, wengine wamejilaza kwenye makochi, wapo wanajikaribisha kwenye kiti maalum cha Rais, wengine wanaoga bafuni,wengine wanapika jikoni, wengine wanaogelea kwenye swimming pool, hawajaishia hapo wengine wakaenda kupiga sarakasi kwenye kitanda Waziri Mkuu. Yaani nimecheka sana, wananchi wanajipooza na machungu yote wanayoyapitia kwa kusherehekea hivyo.

Huku sisi tunaendelea kuchezewa shere na wachache na tuko kimya tu.
 

Mbona huwa tunaandamana sana humu JF ila kutoka barabarani ndio shughuli..
 
Hahahahah
Mbona huwa tunaandamana sana humu JF ila kutoka barabarani ndio shughuli..
 
Tatizo la watanzania wanadhani matibabu ni dawa , pekee ,consultants, vipimo kwao sio matibabu
 
Reactions: RNA
Sisi tutafika huko Kama kizazi Cha 80-2000 kipite kwanza
 
Kheri yake kuliko mwenzake NSSF ambaye pesa za watu wanagawana barabarani na wafanyakazi wanazichota huku serikali na viongozi wanajengea makasri na kununua magari huku wenyenazo wakizisikia kwa mbali.
Hakuna mwenye afadhali hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…