Serikali na Wasafi TV mlitakiwa muwe mmeshakuchukua hatua za kinidhamu kwa Makonda na Oscar. Ukimya wenu unamaanisha mmebariki udhalilishaji huo?

Serikali na Wasafi TV mlitakiwa muwe mmeshakuchukua hatua za kinidhamu kwa Makonda na Oscar. Ukimya wenu unamaanisha mmebariki udhalilishaji huo?

Acha kufata mkumbo, kwakuwa makelele hayakusikika sehemu nyingine haimaanishi hili ni sawa, kama angekuwa mama yako naamini usingejihisi vizuri, vivyo hivyo iwe kwa watu wengine hata kama huwajui wala huna ukaribu nao
Kwa hiyo kama ni mama yangu akikosea asiambiwe ukweli?? Ama basi ni wanaume wangapi wanadhalilishwa na wanawake na hampigi hizi kelele???

Acheni ushamba wa hizo Haki haki,ndiyo maana leo watoto wenu wa kiume wanaolewa na mnabaki kulialia bila kujua mnayasababisha ninyi. Ninaye mama,dada,shangazi,mke na mwana wa kike ila wakikosea waambiwe tu,na bila shaka huambiwa mabaya zaidi ya hilo,Acheni mihemuko
 
Back
Top Bottom