Mr mutuu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2023
- 2,869
- 14,501
Taarifa zaidi badae,
Kuna mtu yupo Kahama kanitaarifu kuwa Kuna ndege imeanguka, ambulance na fire zinakimbia eneo la tukio.
---
UPDATES;
Ndege aina ya Garet 5Q KTM ikiwa na abiria 42 imeanguka nje kidogo ya uwanja wa ndege wa Kahama wakati ikijaribu kutua kwa dharura huku watu 10 wanasadikiwa kufariki katika ajali hiyo.
Ndege hiyo ilikuwa ikitokea nchini Rwanda kuelekea Msumbiji kupitia Dar es Salaam.
Mkuu wa wilaya ya Kahama Mboni Mhita amesema kwamba ajali ya ndege iliyotokea wilayani Kahama ni majaribio kwa ajili ya kupima utayari wa kuokoa pindi ajali za ndege zinapotokea ambapo kiuhalisia hakuna vifo vilivyojitokeza.