Serikali: Ndege inayodaiwa kuanguka Kahama ni Majaribio ya Utayari

Serikali: Ndege inayodaiwa kuanguka Kahama ni Majaribio ya Utayari

Tulia dogo siyo aja
Screenshot_20230213-121844.png
li ni zoezi la majaribio ya uwokozi.

Rudi tu kwenye vijiwe vyenu vya umbea hapo Mwalusembe Mkuranga muendelee kujadili wanaume wengine na maisha yao mkistarehesha baraza. Huku sisi wakilimanjaro tuna piga kazi.
Elimu ya kuiba mitihani na ulevi ndo maana mnaangusha ndege
 
#HABARI Ndege aina ya Garet 5Q KTM ikiwa na abiria 42 imeanguka nje kidogo ya uwanja wa ndege wa Kahama wakati ikijaribu kutua kwa dharura. Watu 10 wanasadikiwa kufariki katika ajali hiyo

Ndege hiyo ilikuwa ikitokea nchini Rwanda kuelekea Msumbiji kupitia Dar es Salaam.
Taarifa zaidi zitakujia hivi punde #EastAfricaRadio
 
Ila mods waliweka update kuwa ni zoezi la majaribio ya uwokozi tena wamebadilisga.

Dah huzuni sana.
Wewe ni mpumbavu mkuu, nimeweka taarifa kama tetesi maana Kuna mtu kaniambia, ajabu unanitukana kua tuendelee kukaa vijiweni kujadili wanaume, yote hayo ya Nini??? Sasa taarifa imekua kweli kwanini wewe ulikua unatukana bila kujua kinachoendelea?
 
Dah! Huu mwaka wetu, yani tunatembea lakini sisi ni marehemu watarajiwa, poleni sana wafiwa ndugu jamaa na marafiki, pia marehemu wapumzike kwa Amani 🙏😞
 
Back
Top Bottom