Serikali: Ndege inayodaiwa kuanguka Kahama ni Majaribio ya Utayari

Serikali: Ndege inayodaiwa kuanguka Kahama ni Majaribio ya Utayari

Mkuu kwa heshima na tahadhima naomba unisamehe. Nilipitiwa tu kidogo...
20230204_174441.jpg

Mtani wangu mangi umepatikana. Nimefurahi
 
Hapo hapo wanaji changanya mara waseme ni ya majaribio...

Media za kukurupuka.View attachment 2515892
Kuna kitu hakipo sawa kwenye hii ajali.

Lakini pia kuna kitu hakipo sawa katika utendaji wa viongozi wa serikali na taasisi zake, DC anasema hiki na kiongozi wa mamlaka anasema kingine.

Kama tutaendelea kuwapa watu uongozi kwa kuwa ni chawa wazuri, kuna siku tutakuja kuwa na viongozi wapumbavu sana. Huu ni wasiwasi wangu.
 
Hivi hawa wakuu wa wilaya wanaokotwa wapi mpaka wanateuliwa? Mamlaka inayoteua huwa inazingatia kiwango cha elimu kweli?
 
Mkuu wa wilaya ya Kahama, Mboni Mhita amesema ajali ya ndege iliyotokea wilayani Kahama ni majaribio kwa ajili ya kupima utayari wa kuokoa pindi ajali za ndege zinapotokea.

Mhita amesema zoezi hilo hufanyika kila baada ya miaka miwili na hakuna vifo vilivyojitokeza.

20230213_133059.jpg


20230213_133033.jpg
 
Ndege inatoka rwanda kwenda msumbiji kupitia anga la tz..tunasema ndege ni yetu tulikua tunafanya majaribio.
Huyu mama naomba nimuone...kanishangaza si bora hata angesema akipata taarifa kamili atajibu,kama lwngo lake ni kuzuia taharuki!
 
Ni nchi moja africa iliyobakia bado sanaa zinafanywa kwenye mambo hatari sana.

Kitendo cha kuzua taharuki vyombo vya usalama sio kizuri kuna kipindi mlifanya Airport Dar.

Hipo siku yatatokea na kweli watu watajua mnafanya taharuki wakati yametokea.
Leo kahama mnafanaya hivo

Nahisi hata bukoba kule mlificha ukweli kwa hayo hayo
 
PUMBAVU KABISA, Drilling ndio inahusisha vyombo vya habari na mpaka mkuu wa kiwanja cha ndege kutoa briefing ya Ajali?.

Drilling ni internal issue inayohusisha wahusika tu bila hata ya watu wa nje kujua ili kuepusha taharuki na sintofahamu maana they are not trained for the business.. TAYARI MSHALETA MKANGANYIKO KWA KUFANYA VITU UNPROFESSIONAL...
 
Back
Top Bottom