Serikali: Ndege inayodaiwa kuanguka Kahama ni Majaribio ya Utayari

Hii nchi ina vitabia vya ajabu sana, yaani ndege imeanguka na kuua eti kiongozi/mwanasiasa anasimama na kudanganya umma ilikuwa kwenye jaribio la utayali wa uokozi!.

Na meneja wa uwanja naye anasema yake ya kitaalam, nani ni nani mwenye ukweli!.
 
20230213_194703.jpg
 
Huyo msemaji wa serikali mboni mhita afutwe kazi mara moja ,hawezi kuleta siasa kwenye maisha ya watu.

SIjawahi kuona majaribio ya kutia hasara ,hiyo ndege iliyoanguka na kuungua ilikuwa haina watu? Ni Drone?
 
Hakuna aliyekufa bwana ni jaribio hizo mambo ziko dunia nzima na nisheria za aviation world wide.
 
Hii nchi ina vitabia vya ajabu sana, yaani ndege imeanguka na kuua eti kiongozi/mwanasiasa anasimama na kudanganya umma ilikuwa kwenye jaribio la utayali wa uokozi!.

Na meneja wa uwanja naye anasema yake ya kitaalam, nani ni nani mwenye ukweli!.
ccm lini wakasema ukweli, kama walitudanganya wakati Jiwe anaumwa hoi itakuwa hili la ndege ndugu zangu?
 
Watanzania

Tujifunze kuheshimu mamlaka!

Kwaajili ya ulinzi wa Taifa kuna MENGI yanafanyika SIO KILA kitu ni cha kusema!

Naishukuru serikali kucheza kama pele kwenye Hilo!!

Tupunguze umbea!!
 
Ilitakiwa Wachukuliwe Hatua Viongozi Wote, Inapotokea Ajali Ya Kweli Hakuna Wanaliweza Lolote Lile

Back
Top Bottom