Serikali: Ndege inayodaiwa kuanguka Kahama ni Majaribio ya Utayari

Serikali: Ndege inayodaiwa kuanguka Kahama ni Majaribio ya Utayari

Screenshot_20230213-150315.png
 
Ngoja kwanza!

Ndege ilikuwa hewan that means ilikuwa na rubani Kisha ikaanguka let say rubani akachoropoka salama lakin mwishowe ikawaka moto na kuteketea ndipo vikosi vya uokoaji vika respond?

naomba kueleweshwa hapa.
 
Taarifa zaidi badae,

Kuna mtu yupo Kahama kanitaarifu kuwa Kuna ndege imeanguka, ambulance na fire zinakimbia eneo la tukio.
---
UPDATES;

Ndege aina ya Garet 5Q KTM ikiwa na abiria 42 imeanguka nje kidogo ya uwanja wa ndege wa Kahama wakati ikijaribu kutua kwa dharura huku watu 10 wanasadikiwa kufariki katika ajali hiyo.

Ndege hiyo ilikuwa ikitokea nchini Rwanda kuelekea Msumbiji kupitia Dar es Salaam.

Mkuu wa wilaya ya Kahama Mboni Mhita amesema kwamba ajali ya ndege iliyotokea wilayani Kahama ni majaribio kwa ajili ya kupima utayari wa kuokoa pindi ajali za ndege zinapotokea ambapo kiuhalisia hakuna vifo vilivyojitokeza.
mala wamekufa watu 10 mala hiyo nimajaribio ya uokozi
 
Kwahiyo ndege imedondoka kweli kwenye hayo majaribio? Kama ilidondoka kweli ilikuwa Drone?
 
amesema kwamba ajali ya ndege iliyotokea wilayani Kahama ni majaribio kwa ajili ya kupima utayari wa kuokoa pindi ajali za ndege zinapotokea ambapo kiuhalisia hakuna vifo vilivyojitokeza.

Shida ilianzia hapa🤣
 
Back
Top Bottom