Serikali: Ndege inayodaiwa kuanguka Kahama ni Majaribio ya Utayari

Serikali: Ndege inayodaiwa kuanguka Kahama ni Majaribio ya Utayari

Screenshot_20230213-123725.jpg
 
Ni heri iwe majaribio kuliko iwe kweli.
Lakini hata kama ni majaribio muhimu kutoa taarifa kwamba kesho kutakuwa na jaribio fulani wananchi wawe watulivu.
 
Ujinga mtupu. Eti majaribio, kila siku majaribio na ikitokea ajali ya kweli hamuokoi hata abiria 1. Stupid kabisa

Huo utayari mnaojipima ni utayari wa nini?
 
Taarifa zaidi badae,

Kuna mtu yupo Kahama kanitaarifu kuwa Kuna ndege imeanguka, ambulance na fire zinakimbia eneo la tukio

===

UPDATES;

===

Mkuu wa wilaya ya Kahama, Mboni Mhita amesema kwamba ajali ya ndege iliyotokea wilayani Kahama ni majaribio kwa ajili ya kupima utayari wa kuokoa pindi ajali za ndege zinapotokea ambapo kiuhalisia hakuna vifo vilivyojitokeza.
Ni sawa na mtu kujitekenya
 
Wewe ni mpumbavu mkuu, nimeweka taarifa kama tetesi maana Kuna mtu kaniambia, ajabu unanitukana kua tuendelee kukaa vijiweni kujadili wanaume, yote hayo ya Nini??? Sasa taarifa imekua kweli kwanini wewe ulikua unatukana bila kujua kinachoendelea?
Ila mkuu badilisha basi Jina la ID yako. Duh Senior Idiot
 
Back
Top Bottom