TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Not for African mkuu!Ilitakiwa Wachukuliwe Hatua Viongozi Wote, Inapotokea Ajali Ya Kweli Hakuna Wanaliweza Lolote Lile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Not for African mkuu!Ilitakiwa Wachukuliwe Hatua Viongozi Wote, Inapotokea Ajali Ya Kweli Hakuna Wanaliweza Lolote Lile
Taarifa zaidi badae,
ajali ya ndege iliyotokea wilayani Kahama ni majaribio kwa ajili ya kupima utayari wa kuokoa pindi ajali za ndege zinapotokea ambapo kiuhalisia hakuna vifo vilivyojitokeza.
Hata sasa tunao hao wapumbavu uliowasemaKuna kitu hakipo sawa kwenye hii ajali.
Lakini pia kuna kitu hakipo sawa katika utendaji wa viongozi wa serikali na taasisi zake, DC anasema hiki na kiongozi wa mamlaka anasema kingine.
Kama tutaendelea kuwapa watu uongozi kwa kuwa ni chawa wazuri, kuna siku tutakuja kuwa na viongozi wapumbavu sana. Huu ni wasiwasi wangu.
Ndoto za mlipuko wa Moto hewani za wazee wa kisukuma naziona dalili zake!Ilitoka Rwanda kuelekea msumbiji😳😳😳
Rwanda Ina maslah Gani msumbiji?
Inatumika kufadhili Yale mambo haramu?
Vyombo vyetu viongeze ulinzi.
Mkuu, una kasia kweli? Ila hii ni ya nchi kavu njoo na rungu tuNgoja nikafungue mlango chap
AmenNdoto za mlipuko wa Moto hewani za wazee wa kisukuma naziona dalili zake!
Huyo jamaa mrefu hatoacha hii fedheha ipite HIVI HIVI!
Kikosi cha anga kiwe macho Sasa na humu NDANI tunao Hao Ndugu ZETU wenye ASILI ya HUKO!!
Mungu IBARIKI nchi yetu Tanzania niipendayo Sana
Kwamba kuna rubani anaweza hatarisha maisha yake kiasi hiko?Hujachanganya mkuu, iko hivyo kabisa
Ndiye, wakati huo alikuwa wa moto kweli kweli.Huyu mboni mahita ndio alitajwa na mwana fa kwenye mabinti dam dam au majina yanafanana
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Hizi ndege ndogo nyingi hazina transponderMambo ya kiintelijensiaa....rada haikuionaa ndege
Umewahi kuwaza pia wale wanaojitoa mhanga kulipua wenzao?Kwamba kuna rubani anaweza hatarisha maisha yake kiasi hiko?
Aisee,Yule jamaa yetu aliota ndege kuanguka ila ilikuwa Arusha,ngoja tusubiri taarifa kamili