Serikali: Ndege inayodaiwa kuanguka Kahama ni Majaribio ya Utayari

Mr mutuu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2023
Posts
2,869
Reaction score
14,501
Taarifa zaidi badae,

Kuna mtu yupo Kahama kanitaarifu kuwa Kuna ndege imeanguka, ambulance na fire zinakimbia eneo la tukio.
---
UPDATES;

Ndege aina ya Garet 5Q KTM ikiwa na abiria 42 imeanguka nje kidogo ya uwanja wa ndege wa Kahama wakati ikijaribu kutua kwa dharura huku watu 10 wanasadikiwa kufariki katika ajali hiyo.

Ndege hiyo ilikuwa ikitokea nchini Rwanda kuelekea Msumbiji kupitia Dar es Salaam.

Mkuu wa wilaya ya Kahama Mboni Mhita amesema kwamba ajali ya ndege iliyotokea wilayani Kahama ni majaribio kwa ajili ya kupima utayari wa kuokoa pindi ajali za ndege zinapotokea ambapo kiuhalisia hakuna vifo vilivyojitokeza.

 
Kuna kufikirisha ila nitatoa uzoefu kidogo.ilishindwaje kutua chato wakati chato na kahama ni pua na mdomo. Au chato ujatambulika kuwa uwanja
 
Tulia dogo siyo ajali ni zoezi la majaribio ya uwokozi.

Rudi tu kwenye vijiwe vyenu vya umbea hapo Mwalusembe Mkuranga muendelee kujadili wanaume wengine na maisha yao mkistarehesha baraza. Huku sisi wakilimanjaro tuna piga kazi.
Siku ya kitokea utwaona wakifanya hayo majaribio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…