Serikali: Ndoa za jinsia moja hata wanyama hawana

Wanaume kila napowatafakari siwapatii majibu inakuaje MWANAUME mzima unamuinamisha MWANAUME mwenzio??????

WANAUME MNA MLAANA ZA AINA YENU
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

sijui kwanini nimecheka
 
Kama magharibi kubaya na watu wake wapenda haki za kila kiumbe mbona kila kukicha mnakimbilia huko??hata dawa za ukimwi mnaomba huko hakuna kitu mnachoweza kufanya ili muendelee mnachojua ni chuki tu zisizo na maana kama mtu ni shoga inawahusu nini
WELL SAID.
 
Hiyo misaada munayoomba ulaya isije na masharti ya kukubali mila na sheria za wazungu, Kama vipi muikatae

Wakikataa usianze kulalamika bidhaa kupanda bei.
 

Dini ya Roma Catholic, RC nailaumu sana sana, imekaa kimya, haikemei kwa ukali hata kidogo, nilitegemea RC wawe wakali sana makanisani na kupinga ushoga kwa nguvu zote, hii ni vita yetu sote, sio kwa serikali tu, makanisa na misikiti wawe wakali sana.

Serikali yetu ikitaka kuwashinda USA kwa hii vita ya ushoga, itaumie viongozi wa dini, kupinga na kusema kwenye vyombo vya habari kwa nguvu kubwa na ukali kuwa hawataki kusikia ushoga. Viongozi wa dini watumike sana ktk hii vita ya ushoga
 
Kuna siku mtasema tuache kuvaa nguo sababu wanyama hawavai. Whataboutism is a mental disorder. Huyo Mpango nae chenga tu.

Kuendelea kuujadili ushoga ni kuupa free promo, kuna mambo mengi ya msingi ya kujadili yanayogusa jamii nzima sio mambo watu wafanyayo faragha.

Ushoga unaanza kupingwa at a family-level. Msipowalea watoto kwa maadili usitegemee tamko la serikali kumuokoa, jiulize watoto wangapi wanaenda shule wakati serikali imesema kila mtoto ana haki ya kupata elimu?
 
Mkuu lile tamko la Papa wa RC ilikuwa nini
 

Lea mwanao kwa maadaili hili sio jukumu la serikali wala dini. Ushoga unaanza au kupingwa at a family-level.
 
Mkuu lile tamko la Papa wa RC ilikuwa nini

Achana na Papa, naona nae amekuwa mchele mchele, ujue Angalican TZ walikataa kabisa kuwafuata kanisa Mama Anglican UK kuhusu ushoga, na Anglican TZ wakashinda, walikataa kabisa so walikosana kabisa na Anglican UK kuhusu Ushoga..

In the same sense, nilitegemea RC TZ wakatae kabisa kuhusu ushoga tena waseme kabisa sisi RC TZ ushoga mwiko kabisa, dini inakataza kabisa, vitabu vitakatifu vinakataza kabisa, sasa Papa kwani ni mkubwa kuliko Mungu au vitabu vya Mungu? RC wako silent kuhusu hili, tena afadhali masheikh wa kiislam wanapiga kelele na kupinga, ila kuna baadhi hawaeleweki misimamo yao pia
 
Tatizo sugu la ushoga Ulaya ni kutokana na Serikali zao kuingilia malezi ya familia mfano ukimchapa viboko mtoto wako unachukuliwa hatua mwisho wake nyemelezi la upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume linawakamata kwa kasi.
 
Hongera SANA kwa kuyasema hayo
 
Lea mwanao kwa maadaili hili sio jukumu la serikali wala dini. Ushoga unaanza au kupingwa at a family-level.

Family level hiyo ni primary level, madhehebu ya dini na serikali ina wajibu mkubwa sana kama hujui ktk vita hii, familia ni sehemu tu ya vita hii..

Ulijua huko USA, EU nchi zilizo na ushoga rasmi kwani hawana familia bora kuliko sisi Tz? Kwa taarifa yako wana familia na maadili tena maadili ya jamii yao ilikuwa ushoga hakuna zamani, ila sasa imekuwa rasmi baada ya serikali zao na madhehebu yao kuwa wameruhusu rasmi, kuwa ushoga kwao ni haki ya msingi kwa atakaye taka, ila maadili walikuwa nayo, sasa family level pekee haitoshi hata kidogo, ni collective action ya familia, serikali na madhehebu ya dini zote..

So familia ni sehemu tu ya vita hii, pekee haitoshi, serikali na madhehebu ya dini yasikwepe vita hii hata kidogo inawahusu
 
wapeleke muswada wa sheria bungeni kama M7 ili mama aweke saini, hizi kelele za chochoroni hazitoshi
 

Family structure Ulaya/US na Afrika ni tofauti sana. Nje mtoto anaweza mtukana baba na baba ndo akaomba msamaha. Bongo huwezi hata ongea tusi mbele ya mzazi wako let alone kumtukana.

Serikali/dini zinaweza toa matamko yote mwisho wa siku hili ni jukumu la familia na mtu mwenyewe binafsi. Mathalani, sera ya serikali kila mtoto apate elimu, unadhani watoto wote wanaenda shule? Sioni sababu ya kuweka nguvu kubwa kwenye hili zaidi mnaupa ushoga free promo tu.
 
Mapunga ni wengi sana hapa tz, wengine hata huwadhanii.
Kuna mwanajf alifichuliwa na mwanajf mwenzie kua ni mfukunyuliwaji ila anapretend kwa nyuzi kibao za mizagamuo.

Unaweza kua uko na machizi mnamdisi punga fulani kumbe hapohapo pana punga au wafukunyuaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…