Kila idara ya serikali siku hizi ina vyanzo vya mapato!
Ndungu zangu NEMC naona bado wamelala usingizi wa pono wakati kuna pesa kibao za kuokota!
1. Sheria na kanuni za mazingira ziko wazi kabisa! Hivyo basi!
Nashauri NEMC ianze kutoza kodi ya spika na miziki mikubwa katika kumbi na taasisi!
Hilo halimaanishi wanazuia burudani au ibada la hasha Bali wanasimamia matumizi ya SPIKA.
Taasisi, kumbi na vikundi vya starehe wanaotumia spika zaidi ya 150watts wawekewe tozo kulingana na kiwango cha desibeli au ukubwa wa chombo cha mziki (1000@watts size) yaani kwa kiwango cha wati moja iwe ni Tsh 1000 (elfu moja)
Wapewe stika kwamba wamelipia kwa mwaka!
Mfano. Spika moja yenye watts 1000W watachangia kiasi kidogo cha 1MIL (Pesa hizi asilimia 50% ziende serikalini na 50% zirudi kwenye kata kama posho za wenyeviti wa mtaa na madiwani kwasababu hawana mishahara)
Na fomu hizo za kibali cha mziki zipatikane mtandaoni au serikali ya mtaa! Na nakala ya stika ya NEMC ibandikwe serikali ya mtaa ili kila mwananchi aone Kuonesha taasisi husika inayopiga makelele mtaani kuwa imelipia!
Hii itarahisisha zoezi wananchi kutoa taarifa kwa taasisi ambazo hazijalipia!
Mziki wowote mkubwa wa siku moja au endelevu lazima utumie spika iliyolipiwa tozo ya NEMC
Makaidi wa kulipa wataifishwe Mali hizo au kufungiwa huduma!
Serikali haizuii Burudani au ibada Bali itakuwa inasimamia mazingira, Kwa wanaoabudu Mungu Kweli watasali kwa utulivu. Wataoona kuna ulazima wa kutumia spika basi wasiache kulipia mazingira (Discouraging principal)
2. Nashauri TCRA nao wasiache kuremba, wachukue pesa kwa yoyote anae jirekodi kinyume na maadili mtandaoni. Ushahidi iwe ni vedeo yenyewe, Wanaojirekodi wakinengua style za kingono watozwe faini kwa kila video moja pasipo HURUMA, kwa wanaovujisha video za ngono faini iwe kubwa zaidi!
NOTE! Yoyote anakaejitokeza kubinua mdomo kutetea au kuibua jambo la utetezi huo popote inje ya mahakama ashughulikiwe (kama ni mbunge avuliwe hata uanachama!) Kama ni chombo cha habari kitakachorusha habari ya kutetea nacho kiunganishwe kwa kutozwa faini!
NCHI HII WASTAARABU HAWANA MSEMAJI! WANAONEWA SANA KWA Ujinga wa baadhi ya watu wenye tabia za KIPIMBI.
Tatizo kubwa la wasitaarabu wanapenda kukaa kimya kwenye mambo yanaowagusa; hata humu wamo ingawa huumia kimoyo moyo!
Naomba kuwakilisha hoja hii! Aksante!