Wazo zuri, Kenya wanafanya hivyo, kuanzia
Anepiga mziki mkubwa kwenye maduka ya mitaani na msoko (mziki ambao unasikika hadi nnje ya duka , kama mziki hausikiki nnje huitaji kibali) analipia ili kupata kibali kwa hiyo kama duka lako huna kibali cha kupiga music na ukapiga unakamatwa na kupigwa fine.
Magari ya matangazo - yanalipia
Matangazo ya mtaani kama tigo, voda na mengine ya promotion - yanalipiwa
sherehe zote zinalipia kibali cha kupiga music
makanisa na misikiti hawajaweka so hawahitaji kibali isipokua kwa mikutano inayofanyika nnje ya nyumba zao za ibada ndio wanalipia.
na mengine mengi yanayohusu music ambao unasikika nnje ya eneolako unalomiliki lazima yapate kibali after kulipia
Hivyo yeah ni wazo zuri.
Sent from my vivo X6D using
JamiiForums mobile app