kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Mipango yako lazima iwaone vitukuu vyako na vitukuu vyao pia.
Watu wanaongezeka na ardhi inabaki ileile ambayo inazidi kupunguzwa kwa kumegwa na bahari inayozidi kuongeza kina chake kutokana mabadiliko ya hali ya hewa.
Kama makaburi ya zege na marumaru yasiooza yakiongezeka wale wengine wakifa watazikwa wapi? Hili nalo linahitaji D ngapi watu wa mipango kuliona?