kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
- Thread starter
- #41
Hata uingereza zamani walikuwa na mapori, wanyamapori na misitu minene
Ardhi itaoungua but kufika huko itakuwa ni kizazi kingine kama si vingine. Not now. America na idadi ya raia walio nao bado hawajajaza america yote mpaka leo
Nipo state moja hivi, bado wanazika kwa kujengea na kuna maeneo maalum yametengwa nje kabisa ya m
Hiyo ni sawa wametatua tatizo lakini wameharibu the ecosystems. Mipango wa Mungu ni umetokana na udongo urusi kuwa udongo kwa kazi nyingine za Mungu. Kumficha mtu aliyekufa kwenye zege na marumaru ni msiba mwingine kwa Mungu, uumbaji.na mazIngira.. Mungu anawagombesha watu hao lakini hawajui kwamba wanagombeshwaNjia nzuri ya kulinda ardhi, ni kufanya maziko ya kuchoma moto badala ya makaburi. Kutokana na wahindi kuwa wengi na ardhi kuwa finyu, wamejikuta wakifanya maziko ya kuchomwa moto, na kuwa kama sehemu ya tamaduni zao.