Serikali piga marufuku kujengea makaburi kwa zege za marumaru.

Serikali piga marufuku kujengea makaburi kwa zege za marumaru.

Waislamu washapiga marufuku hilo suala la kujengea makaburi ndio maana makaburi yao huwa hayajai
Wapi huko? Utakuwa unaongelea Waislam wale maskini wa kijijini kwenyu mtindiga wewe
 
Ukiwa unasafiri ndio utagunda hii nchi mapori ni mengi sana.
Daaah!!! Binafamu anafikiri kinyonge namna hii? Yaani tusubiri mapori yote yaishe ndio tushituke? Elimu yetu imetufikisha huko?w Yaani bwana mipango anajenga barabara mpya kabisa kwa mkopo kutoka Morocco hadi tegeta, miaka 2 baadae bwana mipango huyohuyo anaibomoa ili kujenga barabara ya mabasi ya mwendokasi kutoka Morocco hadi tegeta kwa mkopo pia. Ni akili ya aina hiyo inayokusukuma tz bado Kuna mapori mengi hivyo hatuhitaji kuchukua hatua leo yasiishe kizembe.

Kumbuka kuwa tabia ya kujengea ilianza mijini baada ya maeneo kuanza kipungua na watu kugundua kuwa wafu wapya walikuwa wakizukwa juu ya makaburi ya wafu wa zamani . Ili kuzuia hilo watu walianza kujengea makaburi ya wapendwa wao ili yasifukuliwe.
 
Back
Top Bottom