Serikali piga marufuku kujengea makaburi kwa zege za marumaru.

Hata huna akili ndogo kama hii? Zamani mappri ya chungia na kulima yalikuwa mengi Leo hii wakulima na wafugaji wanayaona, hata hujui ni kwanini wanapigana na kuuana. Hujui hayo mapori ya kuchungia yameenda wapi.
Nani kakudanganya mapori ya kuchungia yameisha??

Mnaona maeno hakuna kwasababu mnapenda kurundikana eneo moja na maeneo mengi hakuna huduma za kijamii.

Nenda kilombero huko uone watu wanamiliki zaidi ya hekari 3000.
 
Yaani instead ya kukemea mapori yanayonunuliwa na wachina na waarabu huko tunaanza tena kutafutana wenyewe kwa wenyewe tena kwa marehemu kwani wamekukosea nini hawa marehemu ndugu yangu.
Marehemu walitoka mavumbini lazima warudishwe mavumbini wawe mavumbi yenye tija kwa mimea, wadudu na wanyama wanaokula majani. Walitoka mavumbini tusiwarudishe kwenye zege na marumaru maana hatutapata faida zao baada ya kufa.

Miti inayomea makaburini inanawili na kutoa vivili na hewa safi ya oxygen na kuondoa ile ya carbon kutoka kwenye mazIngira yetu, vipi kama watazikwa kwenye zege na kufunikwa kwa marumaru?
 
Serikali iangalie uwezekano wa kuwa na makaburi ya familia. Kila familia inakuwa na kaburi moja tu kwenda chini ambapo yanakuwa in layers yule atakaye anza anakuwa chini, anayefuata atakuja juu hadi wanaishia wa mwisho. Itasaidia sana kubana matumizi ya ardhi. Ukienda Ufaransa nimekuta makaburi ya aina hii. Kaeneo kadogo lakini kana watu walio zikiwa zaidi 600. Pale juu ya marble wanaweka majina ya watu waliopo huko chini kuanzia aliyeanza kuzikwa hadi wa mwisho
Hii nchi bado kubwa sana, tatizo lenu mnataka kujazana huku mijini, ila ardhi ni kubwa sana, mapori ni mengi mno..
 
Mipango yako lazima iwaone vitukuu vyako na vitukuu vyao pia.

Watu wanaongezeka na ardhi inabaki ileile ambayo inazidi kupunguzwa kwa kumegwa na bahari inayozidi kuongeza kina chake kutokana mabadiliko ya hali ya hewa.

Kama makaburi ya zege na marumaru yasiooza yakiongezeka wale wengine wakifa watazikwa wapi? Hili nalo linahitaji D ngapi watu wa mipango kuliona?
Nchi imejaa mapori hii,acha kuwaza kufa
 
Mipango yako lazima iwaone vitukuu vyako na vitukuu vyao pia.

Watu wanaongezeka na ardhi inabaki ileile ambayo inazidi kupunguzwa kwa kumegwa na bahari inayozidi kuongeza kina chake kutokana mabadiliko ya hali ya hewa.

Kama makaburi ya zege na marumaru yasiooza yakiongezeka wale wengine wakifa watazikwa wapi? Hili nalo linahitaji D ngapi watu wa mipango kuliona?
Hii nchi kwa ukubwa wake bado ardhi ni pana sana, haijafika sehem eti imekuwa finyu nope
 
Bado ni kubwa, kwahiyo umekubali kuwa Iko siku ardhi ya wazi itaisha. Kwahiyo tusubiri mpaka iishe ndio tupange? Nonsense!!!
 
Ardhi itaoungua but kufika huko itakuwa ni kizazi kingine kama si vingine. Not now. America na idadi ya raia walio nao bado hawajajaza america yote mpaka leo

Nipo state moja hivi, bado wanazika kwa kujengea na kuna maeneo maalum yametengwa nje kabisa ya mji
 
Hata uingereza zamani walikuwa na mapori, wanyamapori na misitu minene. Netherlands Sasa hivi wanatafuta ardhi baharini. Watu wanapanga kwa kuangalia trends sio events.
Ardhi itaoungua but kufika huko itakuwa ni kizazi kingine kama si vingine. Not now. America na idadi ya raia walio nao bado hawajajaza america yote mpaka leo

Nipo state moja hivi, bado wanazika kwa kujengea na kuna maeneo maalum yametengwa nje kabisa ya m
 
Njia nzuri ya kulinda ardhi, ni kufanya maziko ya kuchoma moto badala ya makaburi. Kutokana na wahindi kuwa wengi na ardhi kuwa finyu, wamejikuta wakifanya maziko ya kuchomwa moto, na kuwa kama sehemu ya tamaduni zao.​
 
Back
Top Bottom