Serikali piga marufuku kujengea makaburi kwa zege za marumaru.

Hata huna akili ndogo kama hii? Zamani mappri ya chungia na kulima yalikuwa mengi Leo hii wakulima na wafugaji wanayaona, hata hujui ni kwanini wanapigana na kuuana. Hujui hayo mapori ya kuchungia yameenda wapi.
Nani kakudanganya mapori ya kuchungia yameisha??

Mnaona maeno hakuna kwasababu mnapenda kurundikana eneo moja na maeneo mengi hakuna huduma za kijamii.

Nenda kilombero huko uone watu wanamiliki zaidi ya hekari 3000.
 
Yaani instead ya kukemea mapori yanayonunuliwa na wachina na waarabu huko tunaanza tena kutafutana wenyewe kwa wenyewe tena kwa marehemu kwani wamekukosea nini hawa marehemu ndugu yangu.
Marehemu walitoka mavumbini lazima warudishwe mavumbini wawe mavumbi yenye tija kwa mimea, wadudu na wanyama wanaokula majani. Walitoka mavumbini tusiwarudishe kwenye zege na marumaru maana hatutapata faida zao baada ya kufa.

Miti inayomea makaburini inanawili na kutoa vivili na hewa safi ya oxygen na kuondoa ile ya carbon kutoka kwenye mazIngira yetu, vipi kama watazikwa kwenye zege na kufunikwa kwa marumaru?
 
Hii nchi bado kubwa sana, tatizo lenu mnataka kujazana huku mijini, ila ardhi ni kubwa sana, mapori ni mengi mno..
 
Nchi imejaa mapori hii,acha kuwaza kufa
 
Hii nchi kwa ukubwa wake bado ardhi ni pana sana, haijafika sehem eti imekuwa finyu nope
 
Hii nchi kwa ukubwa wake bado ardhi ni pana sana, haijafika sehem eti imekuwa finyu nope
Bado ni kubwa, kwahiyo umekubali kuwa Iko siku ardhi ya wazi itaisha. Kwahiyo tusubiri mpaka iishe ndio tupange? Nonsense!!!
 
Bado ni kubwa, kwahiyo umekubali kuwa Iko siku ardhi ya wazi itaisha. Kwahiyo tusubiri mpaka iishe ndio tupange? Nonsense!!!
Ardhi itaoungua but kufika huko itakuwa ni kizazi kingine kama si vingine. Not now. America na idadi ya raia walio nao bado hawajajaza america yote mpaka leo

Nipo state moja hivi, bado wanazika kwa kujengea na kuna maeneo maalum yametengwa nje kabisa ya mji
 
Hata uingereza zamani walikuwa na mapori, wanyamapori na misitu minene. Netherlands Sasa hivi wanatafuta ardhi baharini. Watu wanapanga kwa kuangalia trends sio events.
 
Njia nzuri ya kulinda ardhi, ni kufanya maziko ya kuchoma moto badala ya makaburi. Kutokana na wahindi kuwa wengi na ardhi kuwa finyu, wamejikuta wakifanya maziko ya kuchomwa moto, na kuwa kama sehemu ya tamaduni zao.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…