Ardhi itaoungua but kufika huko itakuwa ni kizazi kingine kama si vingine. Not now. America na idadi ya raia walio nao bado hawajajaza america yote mpaka leo
Nipo state moja hivi, bado wanazika kwa kujengea na kuna maeneo maalum yametengwa nje kabisa ya m
Hiyo ni sawa wametatua tatizo lakini wameharibu the ecosystems. Mipango wa Mungu ni umetokana na udongo urusi kuwa udongo kwa kazi nyingine za Mungu. Kumficha mtu aliyekufa kwenye zege na marumaru ni msiba mwingine kwa Mungu, uumbaji.na mazIngira.. Mungu anawagombesha watu hao lakini hawajui kwamba wanagombeshwaNjia nzuri ya kulinda ardhi, ni kufanya maziko ya kuchoma moto badala ya makaburi. Kutokana na wahindi kuwa wengi na ardhi kuwa finyu, wamejikuta wakifanya maziko ya kuchomwa moto, na kuwa kama sehemu ya tamaduni zao.
Now ni marufuku kabisa hawaruhusu kujengea makaburiWapi hao? Wenye uwezo wanajengea vizur
Bongo tunayo maeneo makubwa Tz asa hii ni uking'ang'a wa hapa darMipango yako lazima iwaone vitukuu vyako na vitukuu vyao pia.
Watu wanaongezeka na ardhi inabaki ileile ambayo inazidi kupunguzwa kwa kumegwa na bahari inayozidi kuongeza kina chake kutokana mabadiliko ya hali ya hewa.
Kama makaburi ya zege na marumaru yasiooza yakiongezeka wale wengine wakifa watazikwa wapi? Hili nalo linahitaji D ngapi watu wa mipango kuliona?
Mkuu upo nyuma ya muda sana. Kwani hujui kuwa watu wapo busy maabara kuhakikisha kuanzia mwaka 2050 watu watakuwa hawakufi?Mipango yako lazima iwaone vitukuu vyako na vitukuu vyao pia.
Watu wanaongezeka na ardhi inabaki ileile ambayo inazidi kupunguzwa kwa kumegwa na bahari inayozidi kuongeza kina chake kutokana mabadiliko ya hali ya hewa.
Kama makaburi ya zege na marumaru yasiooza yakiongezeka wale wengine wakifa watazikwa wapi? Hili nalo linahitaji D ngapi watu wa mipango kuliona?
Kiislamu kaburi linatakiwa lipotee baada ya mda.😀😀😀iwe kama pale Kisutu,miaka nenda rudi watu wanazikwa pale na kaeneo ni kadogo mno ila nimeenda pale kuhudhuria mazishi zaidi ya mara kumi,kuna siku nilimuuliza rafiki yangu mmoja ambaye ni Muslim,akacheka na kuniambia pale palijaa zamani ndiyo maana kaburi wanachimba wahusika tu wa pale
Mapori sio mengi kihivyo sema tu tumekosa wawekezaji wa mashamba makubwa (plantations) ranch za ufugaji. Kunahitajika mashamba makubwa ya miwa, kahawa, ngano, miti ya Mbao na nguzo, mpira, pamba, chai korosho, mpunga, alizeti, mahindi, ngano, machungwa, embe, mbaazi, dengu, ufuta, mihogo, parachichi, nk. Yako wapi? Hayahitajiki? Tulime au tuzikane tu?Ukiwa unasafiri ndio utagunda hii nchi mapori ni mengi sana.
Ukifa maana yake hujapotea ilà Mungu amekupenda zaidi. Anakufanyia recycling kutengeneza kitu kingine chenye manufaa zaidi kwa binafamu, wanyama, wadudu na mimea. Lazima mwili uoze na uchanganyike na ubongo ili kuwa udongo wenye faida, hivyo hujapotea. Lakini kama mwili wako utazikwa kwenye kaburi la zenye na kufunikwa kwa zege na marumaru utakuwa umepotea kabisa, hata mimea, wadudu, wanyama hata ndugu zako hutawasaidia tena sio kwa hewa safi Wala kivuli. Utaogelea kwenye harufu Yako ndani ya zege ulimofungiwa milele.Waislamu washapiga marufuku hilo suala la kujengea makaburi ndio maana makaburi yao huwa hayajai
Inatakiwa lipandwe miti juu yake, huenda hii miti juu ya kaburi ndiyo itakuwa njia ya kuendelea kupata maagizo kutoka kwao. Ila kama tutaendelea kuzika kwa zege Iko siku tutatengeneza miji na mitaa ya wafu.Kiislamu kaburi linatakiwa lipotee baada ya mda.
Hata uingereza zamani walikuwa na mapori, wanyamapori na misitu minene
Hiyo ni sawa wametatua tatizo lakini wameharibu the ecosystems. Mipango wa Mungu ni umetokana na udongo urusi kuwa udongo kwa kazi nyingine za Mungu. Kumficha mtu aliyekufa kwenye zege na marumaru ni msiba mwingine kwa Mungu, uumbaji.na mazIngira.. Mungu anawagombesha watu hao lakini hawajui kwamba wanagombeshwa
Wajinga wakasema eti Kuna adhabu ya kaburini wakasahau kuwa Kuna wanaoungua moto, wanaokwenda na maji, wanaokufa bila kuzikwa na hata wanaoliwa na fisi.Tujiulize swali, wanyama porini wakifa, nani huwa anawazika? Na sisi binadamu tulitakiwa tuishi hivyo hivyo kama wanyama porini, lakini kwa kutaka kujitofautisha na wanyama, ndio tukaweka utaratibu wetu wa maziko pale mtu anapo poteza uhai.
Tanzania ni nchi ya 31 kwa ukubwa duniani. Maeneo bado ni meeeeeeengi.Mipango yako lazima iwaone vitukuu vyako na vitukuu vyao pia.
Watu wanaongezeka na ardhi inabaki ileile ambayo inazidi kupunguzwa kwa kumegwa na bahari inayozidi kuongeza kina chake kutokana mabadiliko ya hali ya hewa.
Kama makaburi ya zege na marumaru yasiooza yakiongezeka wale wengine wakifa watazikwa wapi? Hili nalo linahitaji D ngapi watu wa mipango kuliona?
Okay kumbe, sijawahi kujua jambo hili, nashukuru kwa Elimu 🙏Kiislamu kaburi linatakiwa lipotee baada ya mda.
Yajengwe makaburi ya ghorofa yawe na makazi mengi zaidi.Mipango yako lazima iwaone vitukuu vyako na vitukuu vyao pia.
Watu wanaongezeka na ardhi inabaki ileile ambayo inazidi kupunguzwa kwa kumegwa na bahari inayozidi kuongeza kina chake kutokana mabadiliko ya hali ya hewa.
Kama makaburi ya zege na marumaru yasiooza yakiongezeka wale wengine wakifa watazikwa wapi? Hili nalo linahitaji D ngapi watu wa mipango kuliona?
Mbona wanagawiwa wachina waarabu hampigi kelele?Mipango yako lazima iwaone vitukuu vyako na vitukuu vyao pia.
Watu wanaongezeka na ardhi inabaki ileile ambayo inazidi kupunguzwa kwa kumegwa na bahari inayozidi kuongeza kina chake kutokana mabadiliko ya hali ya hewa.
Kama makaburi ya zege na marumaru yasiooza yakiongezeka wale wengine wakifa watazikwa wapi? Hili nalo linahitaji D ngapi watu wa mipango kuliona?
Wasilamu wa wapi huko!?Waislamu washapiga marufuku hilo suala la kujengea makaburi ndio maana makaburi yao huwa hayajai