Daaah!!! Binafamu anafikiri kinyonge namna hii? Yaani tusubiri mapori yote yaishe ndio tushituke? Elimu yetu imetufikisha huko?w Yaani bwana mipango anajenga barabara mpya kabisa kwa mkopo kutoka Morocco hadi tegeta, miaka 2 baadae bwana mipango huyohuyo anaibomoa ili kujenga barabara ya mabasi ya mwendokasi kutoka Morocco hadi tegeta kwa mkopo pia. Ni akili ya aina hiyo inayokusukuma tz bado Kuna mapori mengi hivyo hatuhitaji kuchukua hatua leo yasiishe kizembe.
Kumbuka kuwa tabia ya kujengea ilianza mijini baada ya maeneo kuanza kipungua na watu kugundua kuwa wafu wapya walikuwa wakizukwa juu ya makaburi ya wafu wa zamani . Ili kuzuia hilo watu walianza kujengea makaburi ya wapendwa wao ili yasifukuliwe.