Serikali piteni kwenye mabaa chunguzeni bia za windhoek. WATATUUA JAMANI

Kweli wewe ni mlevi, kila kitu tiss na tiss yenyewe hata haijitambui kwenye masuala muhimu ya usalama wa nchi.
Kuna taasisi inaitwa Tanzania bureau of standards tbs, wafanye kazi gani? Kuna food and drug administration FDA, wafanye kazi gani, au ndio maana hata hawajui hayo unayoongelea kwa sababu kuna tiss!!
 
Yaan wewe unalewa wakati sisi tunapigania bandar wanaiuza bora wakupige kisukar kabisa
 
Huko ni mojawapo ya maeneo pesa ilipo !! Kinachohitajika ni Taasisi husika kutimiza majukumu yake ipasavyo, la sivyo watu wataandelea kunyweshwa sumu kutokana na tamaa za baadhi ya wachache.
 

Attachments

  • KODI.jpg
    238.5 KB · Views: 3
Hata mkipata stimu za kufa mtu kwa bia nne, bado mtayasema haya haya..!! We acha tunywe yaishe. Kwanza maisha yenyewe haya mafupi!!
 
Nimerudi nyumbani
Ni mwendo wa castle light tu
Heineken na Windhoek nimeacha baada ya kugundua zinachakachuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…