Uhakiki
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,288
- 7,704
Wapo mkuuHao hawapo sikuhizi kazi hiyo imehamishiwa TBS.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo mkuuHao hawapo sikuhizi kazi hiyo imehamishiwa TBS.
Najua nitaonekana mlevi lakini kuna uwezekano mkubwa sana hizi bia kuna viwanda vya uchochoroni vinaendelea.
Ukizingatia wamiliki wengi ni wachaga ambao nao pesa ni zaidi ya uhai wa mtu. Hivyo ni rahisi wakafanya mchongo na wachina kutengeneza bia feki.
Haiwezekana watu watano wanywe bia nane kila mmoja halafu hata dalili ya stim hakuna. Halafu unalala unaamka unasikia vichomi na magoti kuuma.
Najua kipaumbele chenu ni masuala ya hali ya kisiasa lakini hebu hata haya yanayogusa afya za watu yazingatieni. MKIAMUA KULIPA UZITO HILI NINAAMINI KUNA KITU KITAGUNDULIKA.
HIZI BIA ZIMEKUWA ZIKILALAMIKIWA SANA.
Naendelea kutoa angalizo kwamba katika hili MSINICHUKULIE KAMA VILE NI MLEVI TU, maana tunajuana wabongo, mtu akiende polisi kutoa taarifa kuwa umeibiwa hela ukiwa baa unaweza ukawekwa mahabusu wewe mwenyewe hadi asubuhi
Meku acha povu, mnajulikana kwa madili feki tangu kitambo sana“Ukizingatia wamiliki wengi ni wachaga ambao nao pesa ni zaidi ya uhai wa mtu”
Wivu unakusambua , roho ya husda, roho ya uvivu, uchawi na akili zilizo expire.
Nimerudi nyumbani
Ni mwendo wa castle light tu
Heineken na Windhoek nimeacha baada ya kugundua zinachakachuliwa
Wapo mkuu