Serikali piteni kwenye mabaa chunguzeni bia za windhoek. WATATUUA JAMANI

Windhoek ilikua bia yangu pendwa ila niliachana nayo baada ya kuhisi kama inachakachuliwa sana. Kunywa tena hii bia labda nikienda ubalozi wa Namibia au 5 star hotel
 
Najua nitaonekana mlevi lakini kuna uwezekano mkubwa sana hizi bia kuna viwanda vya uchochoroni vinaendelea.

Ukizingatia wamiliki wengi ni wachaga ambao nao pesa ni zaidi ya uhai wa mtu. Hivyo ni rahisi wakafanya mchongo na wachina kutengeneza bia feki.

Haiwezekana watu watano wanywe bia nane kila mmoja halafu hata dalili ya stim hakuna. Halafu unalala unaamka unasikia vichomi na magoti kuuma.

Najua kipaumbele chenu ni masuala ya hali ya kisiasa lakini hebu hata haya yanayogusa afya za watu yazingatieni. MKIAMUA KULIPA UZITO HILI NINAAMINI KUNA KITU KITAGUNDULIKA.

HIZI BIA ZIMEKUWA ZIKILALAMIKIWA SANA.

Naendelea kutoa angalizo kwamba katika hili MSINICHUKULIE KAMA VILE NI MLEVI TU, maana tunajuana wabongo, mtu akiende polisi kutoa taarifa kuwa umeibiwa hela ukiwa baa unaweza ukawekwa mahabusu wewe mwenyewe hadi asubuhi
Mlitumwa mnywe bia? ndo vzr mkifa tuwapige wake zenu shoo, hata saivi hamna Tena nguvu za kiume, wake zenu wanatutaka na sisi hatusiti kuwapelekea moto
 
We tamba tu, ipo siku yako 🤣🤣
 
Mlitumwa mnywe bia? ndo vzr mkifa tuwapige wake zenu shoo, hata saivi hamna Tena nguvu za kiume, wake zenu wanatutaka na sisi hatusiti kuwapelekea moto
Hilooooo limekosea, Mimi sina mke
 
Maaskofu wa tec wanafanya kazi gani hawajapita huko kuokowa maisha ya Watanzania? Au wao wamekalia umbea tu?
 
Haha nilitegemea atawaongelea watu wa idara ya viwango vya ubora wa bidhaa, ye kawataja TISS🤣🤣🙌
Kumbuka hao ndio jicho la nchi. Wewe jua tu kuwa TISS wakiamua kuchunguza nyumba yako unaweza kushangaa wakakupa hata taarifa usizozijua za chumbani kwako. Hivyo hao unaosema wa TBS waache maana stop yao is too limited
 
Najua nitaonekana mlevi lakini kuna uwezekano mkubwa sana hizi bia kuna viwanda vya uchochoroni vinaendelea.

Ukizingatia wamiliki wengi ni wachaga ambao nao pesa ni zaidi ya uhai wa mtu. Hivyo ni rahisi wakafanya mchongo na wachina kutengeneza bia feki.

Haiwezekana watu watano wanywe bia nane kila mmoja halafu hata dalili ya stim hakuna. Halafu unalala unaamka unasikia vichomi na magoti kuuma.

Najua kipaumbele chenu ni masuala ya hali ya kisiasa lakini hebu hata haya yanayogusa afya za watu yazingatieni. MKIAMUA KULIPA UZITO HILI NINAAMINI KUNA KITU KITAGUNDULIKA.

HIZI BIA ZIMEKUWA ZIKILALAMIKIWA SANA.

Naendelea kutoa angalizo kwamba katika hili MSINICHUKULIE KAMA VILE NI MLEVI TU, maana tunajuana wabongo, mtu akiende polisi kutoa taarifa kuwa umeibiwa hela ukiwa baa unaweza ukawekwa mahabusu wewe mwenyewe hadi asubuhi
Badilisha kilevi, gonga kitu "jogoo"
 
Kumbuka hao ndio jicho la nchi. Wewe jua tu kuwa TISS wakiamua kuchunguza nyumba yako unaweza kushangaa wakakupa hata taarifa usizozijua za chumbani kwako. Hivyo hao unaosema wa TBS waache maana stop yao is too limited
Jua kuwa umeenda mbali sana. You should start with the authority concerned, katika hili sitaongea mengi ila kama ni intelligent enough itakuwa umeelewa mkuu
 
Aisee nliacha kunywa liquors sbb ya utengenezaj wa pombe feki,km wameanza na kwnye bia c balaa ss
 
Kweli wewe ni mlevi, kila kitu tiss na tiss yenyewe hata haijitambui kwenye masuala muhimu ya usalama wa nchi.
Kuna taasisi inaitwa Tanzania bureau of standards tbs, wafanye kazi gani? Kuna food and drug administration FDA, wafanye kazi gani, au ndio maana hata hawajui hayo unayoongelea kwa sababu kuna tiss!!
Ni kweli hivyo vyombo ulivyovitaja ndio jukumu lao hasa lakini BINAFSI NINAAMINI ZAIDI JICHO LA TISS katika kuvisaidia hivyo vyombo kupata taarifa sahihi. Kumbuka dunia hii ina watu wana uwezo wa kutengeneza feki yenye kiwango kilekile ambacho hata jamaa wa TBS na TFDA wakipima samples wanakuta results ni ileile. So unaweza kupima lakini ni feki tu.

Mliosoma Cuba mtanielewa
 
Jua kuwa umeenda mbali sana. You should start with the authority concerned, katika hili sitaongea mengi ila kama ni intelligent enough itakuwa umeelewa mkuu
Those organs you are talking about they're not smart enough. Ndio maana nimewa alert jamaa wa darubini kali
 
Back
Top Bottom