Serikali punguzeni customs vijana wanunue chuma kama hiki

Serikali punguzeni customs vijana wanunue chuma kama hiki

Nyakati za Usiku barabara nyingi zinakuwa na traffic chache, nimekuwa mdau wa kusafiri sana usiku Kwa kukwepa Tochi za hao ndugu zetu...

Kama una mwendo wa 150km/Hr na hilo Volvo lako, Kufika Morogoro ni kugusa tu kutokea DSM
Speed 150Km/h una akili? Au umeifananisha na ndege vita zikiwa angani? Mfano unawahi nini!
 
Mabasi mengi siku hizi wanasafiri usiku...bila Shaka unaipinga hi idea[emoji3][emoji3]
Huo ndio ukweli mie nasafir pia mara moja moja Usiku hasa ule Usiku unaokaribia Alfajiri.

Naona hizo rafu.. jiulize ukipata ajari usiku na ukipata mchana ni wakati gani utapata msaada wa haraka?
 
Hawako serious kabisa, kingine wengi ni wauza vifaa lakini sio mafundi wazuri. Wanaokota vijana wafanye kazi.

Atlantic wa Coca-cola kidogo wanajitahidi na wanavifaa vya kazi.
Nimeambiwa Kuna mtaalam wa Volvo Kimara, Bado sijaenda kumtembelea.
Ukimtembelea huyo mtaalamu wa Volvo leta mrejesho
 
Utakutana na kodi ya kujengea nyumba ya vyumba vinne na sebule
Bro hii ukiifunga jembe itafaa kwenye shughuli za kilimo? Nina shamba madibila huku,kilimo cha kutegemea jembe la kukokotwa na maksai si cha tija
 
Niliendesha Volvo Siku moja hapa DSM, nilichogundua ukitaka kulifaidi hilo gari nenda nalo safari ndefu, mathalani DSM - Mbeya ama DSM - Mwanza

Gari Lina speed meter ya 220 ama 240 kama sijakosea.

Kwahiyo ukilipiga full tank halafu utoke DSM saa 12 Jioni hivi kuitafuta Morogoro itakuwa ni mwendo wa saa 1:30 tu 🙌
Hao Trafic wanakuwa wanakuangalia tu na tochi zao
 
Ni kweli,naelewa. Lakini,hizo barabara za kukimbia speed hiyo sisi tunazo? Unaweza furahia kuliendesha,usipoanguka,utagonga mtu au mali ya watu.
Umesema sahihi Mkuu, ndiyo maana ukiwa dereva ni muhimu sana kuwa makini barabarani.

Kuna rafiki yangu Mzungu, aliniambia Siku Moja wakati namsindikiza airport kwamba kuendesha gari Tanzania ni hatari kama kucheza na Simba mwenye njaa Kali
Barabara zetu nyingi ni changamoto.

Unaweza kuwa unaendesha unakutana na shimo kubwa katikati ya barabara, usipokuwa makini unaweza kuangusha gari ama kusababisha ajali
 
Sio kwamba waondoe matozo kwenye miamala yasiyo na faida na kupunguza makodi ya bundle ili vijana waingie online na kujifunza hiki na kile bali wapunguze kodi ili tuendelee kuwa dumping ground ya other peoples produce ?

Sisemi kwamba tusifanye ila kuna kitu kinaitwa kipaumbele na kwa kuangalia vipaumbele vyetu ndio maana Waziri wa Fedha alisema Uchumi umeimarika sababu watu wanaagiza magari ya Namba E
 
Umesema sahihi Mkuu, ndiyo maana ukiwa dereva ni muhimu sana kuwa makini barabarani.

Kuna rafiki yangu Mzungu, aliniambia Siku Moja wakati namsindikiza airport kwamba kuendesha gari Tanzania ni hatari kama kucheza na Simba mwenye njaa Kali
Barabara zetu nyingi ni changamoto.

Unaweza kuwa unaendesha unakutana na shimo kubwa katikati ya barabara, usipokuwa makini unaweza kuangusha gari ama kusababisha ajali
Kuna watu wanaishi maisha ya kuigiza: akiona wanavokata gari kwenye movie,au msafara wa raisi,nae anajua akithubutu anaweza. hawafikilii kwamba gari tunazoletewa sisi ni screpa,na hazina hadhi ya kukimbizwa hivo.. Ongezea madereva wasio na uelewa. Mtu anaejitambua,ambae ni dereva kweli,kwenye mambo mengi ya kuzingatia,Afrika mashariki hatujafikia hata 10%.

Ila waache wanaotafuti kifo waende.
 
Niliendesha Volvo Siku moja hapa DSM, nilichogundua ukitaka kulifaidi hilo gari nenda nalo safari ndefu, mathalani DSM - Mbeya ama DSM - Mwanza

Gari Lina speed meter ya 220 ama 240 kama sijakosea.

Kwahiyo ukilipiga full tank halafu utoke DSM saa 12 Jioni hivi kuitafuta Morogoro itakuwa ni mwendo wa saa 1:30 tu 🙌
Hao Trafic wanakuwawanakuangalia tu ba tochi zao
Nyakati za Usiku sio rahisi kupigwa Tochi
Ruvu,mikese,nk tochi zipo
 
Kuna watu wanaishi maisha ya kuigiza: akiona wanavokata gari kwenye movie,au msafara wa raisi,nae anajua akithubutu anaweza. hawafikilii kwamba gari tunazoletewa sisi ni screpa,na hazina hadhi ya kukimbizwa hivo.. Ongezea madereva wasio na uelewa. Mtu anaejitambua,ambae ni dereva kweli,kwenye mambo mengi ya kuzingatia,Afrika mashariki hatujafikia hata 10%.

Ila waache wanaotafuti kifo waende.
Umesema sahihi Mkuu, Kuna Vijana wanaendesha Alteza wanakimbia balaa
 
Back
Top Bottom