Serikali punguzeni customs vijana wanunue chuma kama hiki

Kwa miundombinu (barabara) gani? Hacha kujitoa ufaham basi?. Pengine kwa manufaa ya wengine, barabara zetu hazi-suppport speed zaidi ya 100km/h
Nakuelewa Mkuu, ndiyo maana nami nimetolea mfano wa baadhi ya barabara ambazo walau zina nafuu ambapo unaweza kuendesha speed zaidi ya 100km/hr

Kipande cha Kimara Mwisho hadi Kibaha
Kipande cha Igawa hadi Makambako
Kipande cha Iyovi hadi Ruaha Mbuyuni
Kipande cha Mikese hadi Njia panda ya Ngerengere n.k
 
Na foleni hii ya barabara ya Dar Moro?! Au zile six ways zilishajengwa?!
Haujawahi kusafiri Usiku Mkuu?

Jaribu kutoka DSM saa 3 usiku then Anza kuitafuta Morogoro, ukishafika KimaraMwisho pale ni mwendo wa dakika 15 hivi ama 20 unakuwa zako Kibaha

Baada ya hapo unaenda kukutana na Maaskari hapo RuvuJuu ukitoka hapo ni hadi Mizani ya Mikese Morogoro
 
Kwa usiku barabara hiyo ni ubora wa taa za gari yako tu na pulling haha!!

Barabara ya hatari sana hiyo hata usiku ni mwendo wa malori tena kwa sasa na mabus yakutosha tu.
 
Ni sahihi Mkuu

Ndiyo maana gari yangu nimefunga hadi spot light ili nikikutana na Dereva muhuni nami namfanyia uhuni wa kumpiga full light, na ikitokea nasafiri usiku gari huwa naifanyia service zote ikiwemo hadi wheel alignment and balance ili nikiwa barabarani isitokee iyumbe iyumbe

Kusafiri mchana inaboa zile Tochi za hao ndugu zetu, unalazimika utembee spidi ya 50km/hr kama unasindikiza harusi 🙌
 
Usiku si Salama kusafiri.. kuna magari mengi mabovu, pia madereva walevi, magari yaliyotelekezwa, maguta, wanyama wanaotembea Usiku, majiwe na vigingi kuviona si rahisi, walevi wanaovuka barabara bila tahadhari.. na mambo mengine mengi.

Pia ukipata emergency ni ngumu kupata msaada wa haraka.. na ni hatari kwa ww na mali zako.

Ni heri usafiri Alfajir ya mapema zaidi na si Usiku sana.
 
Niliendesha Volvo Siku moja hapa DSM, nilichogundua ukitaka kulifaidi hilo gari nenda nalo safari ndefu, mathalani DSM - Mbeya ama DSM - Mwanza

Gari Lina speed meter ya 220 ama 240 kama sijakosea.

Kwahiyo ukilipiga full tank halafu utoke DSM saa 12 Jioni hivi kuitafuta Morogoro itakuwa ni mwendo wa saa 1:30 tu [emoji119]
Acha kutufunga kamba. Full tank kwenye EV

Volvo EX90 ni gari la kifahari la SUV kutoka kwa mtengenezaji wa magari wa Volvo, lililoanzishwa mnamo mwaka wa 2023. Gari hili lina sifa kadhaa muhimu ambazo zinaeleza ubora wake:

1. Umeme: EX90 ni gari la umeme lenye uwezo wa kutoa kuendesha bila hewa ya moto. Linatumia teknolojia ya umeme kwa ajili ya kutoa nguvu na kupunguza athari za mazingira.

2. Muonekano na Kubuni: Lina muonekano wa kisasa na elegant, lenye mistari laini na miundo ya kisasa. Inajivunia muundo wa ndani wa hali ya juu, ukiwa na vifaa vya hali ya juu na nafasi ya kutosha kwa abiria na mizigo.

3. Utendaji na Mafanikio: EX90 ina uwezo mkubwa wa kuendesha kwa kasi, na mfumo wa betri wa kisasa unaozaa umbali mrefu kwa chaji moja. Hii inafanya kuwa chaguo bora kwa safari ndefu.

4. Teknolojia na Usalama: Volvo EX90 inajivunia teknolojia ya hali ya juu, ikiwa na mfumo wa kujiendesha kwa kiwango cha juu, teknolojia ya kusaidia dereva, na vifaa vingine vya usalama. Hii inahakikisha usalama wa abiria na kuongezea uzoefu wa kuendesha gari.

5. Mazoezi ya Ndani: Ndani ya gari, utapata nafasi ya kifahari na vifaa vya hali ya juu kama vile viti vya ngozi, mfumo wa sauti wa premium, na skrini za kugusa kwa kudhibiti vipengele mbalimbali vya gari.

Kwa ujumla, Volvo EX90 ni gari lenye kiwango cha juu cha teknolojia, usalama, na faraja, lililoundwa kutoa uzoefu mzuri wa kuendesha gari huku likichangia katika kupunguza athari za mazingira.

Credit AI
 
Mkuu gari niliyoendesha haikuwa hiyo Volvo EV

Mimi niliendesha Volvo aina nyingine tu ambayo inatumia Petroli na ilikuwa na CC 2,900

Aina hiyo nyingine ya Volvo EV ya Mwaka 2023 sijawahi kuendesha Wala kubahatika kuiona

Kama mtaendelea kuniombea huenda nami nitakuja kuendesha hiyo Volvo EV ya Mwaka 2023 hata kama itakuwa ni Mwaka 2035 panapo Majaaliwa 🤗
 
Kawasaki ninja kwa sh ngapi mkuu unavolinganisha bei na ist..?
Kuna ninja h1,h2 na h2r.
H1 hata kwa milion 7 unapata ila h2 inagota milion 11 na h2r inaanzia milion 13 mpaka 15 kutegemea na toleo la mwaka gani.
Pia kuna kawasaki ninja R1-R6.
Hizo achana nazo bei yake unaweza kununua athlete crown.
Yani kiujumla unazungumzia pikipiki yenye hosepower hadi 200 na maximum speed ina range 240-322 km/hr.
Sasa IST ni gari au chombo cha usafiri!??
 
Acha kutufunga kamba. Full tank kwenye EV

Volvo EX90 ni gari la kifahari la SUV kutoka kwa mtengenezaji wa magari wa Volvo, lililoanzishwa mnamo mwaka wa 2023. Gari hili lina sifa kadhaa muhimu ambazo zinaeleza ubora wake:

1. Umeme: EX90 ni gari la umeme lenye uwezo wa kutoa kuendesha bila hewa ya moto. Linatumia teknolojia ya umeme kwa ajili ya kutoa nguvu na kupunguza athari za mazingira.

2. Muonekano na Kubuni: Lina muonekano wa kisasa na elegant, lenye mistari laini na miundo ya kisasa. Inajivunia muundo wa ndani wa hali ya juu, ukiwa na vifaa vya hali ya juu na nafasi ya kutosha kwa abiria na mizigo.

3. Utendaji na Mafanikio: EX90 ina uwezo mkubwa wa kuendesha kwa kasi, na mfumo wa betri wa kisasa unaozaa umbali mrefu kwa chaji moja. Hii inafanya kuwa chaguo bora kwa safari ndefu.

4. Teknolojia na Usalama: Volvo EX90 inajivunia teknolojia ya hali ya juu, ikiwa na mfumo wa kujiendesha kwa kiwango cha juu, teknolojia ya kusaidia dereva, na vifaa vingine vya usalama. Hii inahakikisha usalama wa abiria na kuongezea uzoefu wa kuendesha gari.

5. Mazoezi ya Ndani: Ndani ya gari, utapata nafasi ya kifahari na vifaa vya hali ya juu kama vile viti vya ngozi, mfumo wa sauti wa premium, na skrini za kugusa kwa kudhibiti vipengele mbalimbali vya gari.

Kwa ujumla, Volvo EX90 ni gari lenye kiwango cha juu cha teknolojia, usalama, na faraja, lililoundwa kutoa uzoefu mzuri wa kuendesha gari huku likichangia katika kupunguza athari za mazingira.

Credit AI
Mwenzio kaelezea gari ya volvo kiujumla wewe unadhani kasemea hiyo EV car.
Umekurupuka sana kumjibu.
 
Back
Top Bottom