Serikali punguzeni customs vijana wanunue chuma kama hiki

Serikali punguzeni customs vijana wanunue chuma kama hiki

Ila hadi hapa nilipo nikitaka ndinga nyingine, ni mwendo wa Volvo tu. Hii niliyonayo itanipeleka peleka miaka si chini ya mitano mbele, ndio nna mwaka nayo mmoja. Shida ni mafundi walio serious. Nyingi wanaziua gearbox.
 
Hakuna gharama yoyote kodi ndio kubwa.

Jiulize mbona Wabongo wakiwa mamtoni wanakokota ndinga za maana? Ila kuileta Tanzania ndio kipengele.
The system is set up to fail us. Mamtoni hununui gari kwa cash. Unaweza chukua ndinga ya maana Audi full EV…ukalipa for four to five years.

Bongo kila kitu cash. Nyumba ya maana kwa middle class 300m+; gari ya maana hivo hivo.

Bila kuiba huwezi kutoboa. Hata serikali inajua. Ndo maana si rahisi mapendekezo ya CAG kufanyiwa kazi.
 
Hapo hapo kiongozi. Ukiweka mwarabu wa 50k. Kwa trip za mjini unarelax kidogo. Kwanza 100k ni full tank.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hizi hybrids zinaokoa sana. Nadhani sikuhizi uoga umepungua kwa watu wengi
 
The system is set up to fail us. Mamtoni hununui gari kwa cash. Unaweza chukua ndinga ya maana Audi full EV…ukalipa for four to five years.

Bongo kila kitu cash. Nyumba ya maana kwa middle class 300m+; gari ya maana hivo hivo.

Bila kuiba huwezi kutoboa. Hata serikali inajua. Ndo maana si rahisi mapendekezo ya CAG kufanyiwa kazi.
Bongo hata wakiweka mfumo wa Lease agreement bado ni maumivu kama sio fisadi.

Hivi utawezaje kulipa gari ya 350M ndani ya miaka 5 kwa makato ya laki kila mwezi? Ukiangalia Salary slip za 90% ya waajiriwa hazifiki 2M kwa mwezi😂!
 
Haahahh
Tuendelee kunuunu tu crown 2006
 
Haahahh
Tuendelee kunuunu tu crown 2006
Watu sio kama wanapenda ila bongo nyoso balaa. Wenzetu USA average person anaweza kumake mapato ya $100,000 au zaidi per annum. Kwao gari nyingi ni $45,000-$85000 with Taxes.
Mtu ana uhakika akikupa gari kwa plan ya kuchukua $10,000-$15,000 kwako kila mwaka ndani ya miaka 5 ushamaliza deni.

Ila kwa Bongo huku hesabu labda ziwe za $3000 kwa mwaka unaweza ukapata watu ili baada ya miaka 5 ndio awe amelipa angalau $15000 Otherwise acha tukomae na Sossy Magari tu.🤣
 
Usiku si Salama kusafiri.. kuna magari mengi mabovu, pia madereva walevi, magari yaliyotelekezwa, maguta, wanyama wanaotembea Usiku, majiwe na vigingi kuviona si rahisi, walevi wanaovuka barabara bila tahadhari.. na mambo mengine mengi.

Pia ukipata emergency ni ngumu kupata msaada wa haraka.. na ni hatari kwa ww na mali zako.

Ni heri usafiri Alfajir ya mapema zaidi na si Usiku sana.
Mabasi mengi siku hizi wanasafiri usiku...bila Shaka unaipinga hi idea[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom