ZEE LA UONGO
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,314
- 3,944
gari kama inapaaa.. katamu sana kale kandigaNgojea similiki gari ila hii nitajitahidi iwe gari yangu ya kwanza inaonekana hii ukipata road haina Jam ni kama umepanda SGR😁😁😁😁.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
gari kama inapaaa.. katamu sana kale kandigaNgojea similiki gari ila hii nitajitahidi iwe gari yangu ya kwanza inaonekana hii ukipata road haina Jam ni kama umepanda SGR😁😁😁😁.
Hivi hii na nissan GTR upi mzigo mzito kwenye speedo!??gari kama inapaaa.. katamu sana kale kandiga
Mkuu kua serious na izo warning signs. Bora iyo ya Brake ila izo mbili (check engine na hybrid system) utaua hiyo Aqua.Hata huko mikoani mwisho kabisa nimewahi kugusa 200 tu.
Mjini nnakua hapa
View attachment 3086142
Tena inabidi nimtafute RRONDO aniangalizie hizo errors, mfumo wa umeme haufanyi kazi, ni full mwarabu no EV mode.
nissan GTR ni mbingu hiyo, Scirocco ni ardhi 😂😂😂 hata bei zake mbali mbali kabisaaHivi hii na nissan GTR upi mzigo mzito kwenye speedo!??
check engine unakuta mafuta anayotumia tu, gari za ulaya zinabagua hadi weseMkuu kua serious na izo warning signs. Bora iyo ya Brake ila izo mbili (check engine na hybrid system) utaua hiyo Aqua.
Nina ndugu yeye yupo Japan ni car dealer,alinambia ya 2019-20 unaipata kwa $40,000.nissan GTR ni mbingu hiyo, Scirocco ni ardhi 😂😂😂 hata bei zake mbali mbali kabisaa
Na foleni hii ya barabara ya Dar Moro?! Au zile six ways zilishajengwa?!Niliendesha Volvo Siku moja hapa DSM, nilichogundua ukitaka kulifaidi hilo gari nenda nalo safari ndefu, mathalani DSM - Mbeya ama DSM - Mwanza
Gari Lina speed meter ya 220 ama 240 kama sijakosea.
Kwahiyo ukilipiga full tank halafu utoke DSM saa 12 Jioni hivi kuitafuta Morogoro itakuwa ni mwendo wa saa 1:30 tu 🙌
Tatizo alioweka picha purely Japan, Toyota Aqua iyo.check engine unakuta mafuta anayotumia tu, gari za ulaya zinabagua hadi wese
Kama una mbavu vuta GTR... mkuu utakuwa kati watu wachache sana wenye kumiliki hiyo chuma hapa Tanzania.. utunyoosheNina ndugu yeye yupi Japan ni car dealer,alinambia ya 2019-20 unaipata kwa $40,000.
Kwa miundombinu (barabara) gani? Hacha kujitoa ufaham basi?. Pengine kwa manufaa ya wengine, barabara zetu hazi-suppport speed zaidi ya 100km/hNiliendesha Volvo Siku moja hapa DSM, nilichogundua ukitaka kulifaidi hilo gari nenda nalo safari ndefu, mathalani DSM - Mbeya ama DSM - Mwanza
Gari Lina speed meter ya 220 ama 240 kama sijakosea.
Kwahiyo ukilipiga full tank halafu utoke DSM saa 12 Jioni hivi kuitafuta Morogoro itakuwa ni mwendo wa saa 1:30 tu 🙌
Wacha nijitafute sasa hivi naishia kuendesha pikipiki tu.Kama una mbavu vuta GTR... mkuu utakuwa kati watu wachache sana wenye kumiliki hiyo chuma hapa Tanzania.. utunyooshe
Mkuu kua serious na izo warning signs. Bora iyo ya Brake ila izo mbili (check engine na hybrid system) utaua hiyo Aqua.
Barabara hazi support hiyo speed kwa ubora au kwasababu ya foleni??Kwa miundombinu (barabara) gani? Hacha kujitoa ufaham basi?. Pengine kwa manufaa ya wengine, barabara zetu hazi-suppport speed zaidi ya 100km/h
"The most terrifying words in the English language are: I'm from the government and I'm here to help." ~ Ronald ReaganAnd be careful when you are right and the government is wrong
By Voltaire
Acha ufyosi! 🚮🚮🚮🚮🚮Kama vile Shimba ya Buyenze alivyo mtaalam wa mademu wenye makalio makubwa hivyo hivyo Extrovert ni master wa magari na mifumo yake.
Pambania kombe chuma ya kwenda ile na ina hatari kweli kweliWacha nijitafute sasa hivi naishia kuendesha pikipiki tu.
Ila soon nitajipata ,ile gari nachoikubali ina stamina hasa kwenye drift ni nzito haipepesuki halafu nyepesi kwenye mwendo yani ipo kama BMW M au Toyota supra.
Na naskia ni tamu ukiipata ikiwa na 5 cylinder.
Sasa si uanze hata kumiliki vitz mkuu..kama mpka sasa unamiliki boda tuWacha nijitafute sasa hivi naishia kuendesha pikipiki tu.
Ila soon nitajipata ,ile gari nachoikubali ina stamina hasa kwenye drift ni nzito haipepesuki halafu nyepesi kwenye mwendo yani ipo kama BMW M au Toyota supra.
Na naskia ni tamu ukiipata ikiwa na 5 cylinder.