Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Ni kweli Mkuu, spidi kubwa sio nzuri150km/hr? Unakimbilia nini huko mkuu? Kama una haraka kiasi hicho si Bora upande ndege?
Kwasasa walau 120 ama nimezidi sana 130km/hr
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli Mkuu, spidi kubwa sio nzuri150km/hr? Unakimbilia nini huko mkuu? Kama una haraka kiasi hicho si Bora upande ndege?
Kabisa mkuuEeh kama unajijua huna tatizo la kusinzia ni vema ila kama hutoboi bila kulala achana na safari za mikesha
Eeeh unakazibua mapafu siku Moja Moja, yaani hiyo ndio formula sahihiHahaha...............ndiyo maana Mimi kwenye kamota Kaa kangu mara moja moja naenda 160km/hr japo maximum speed ni 180km/hr
Kwani hawajui?
wanakula kwa urefu wa kamba zao.. sio poaWakati wanajua na wao ndio sehemu ya kufanikisha
Tutahamia kulalamikia barabara.banaa wee acha tujibanze kwenye chaka la ushuru, ila hali ya uchumi wa watanzania wengi sio rafiki kwa magari kuanzia 100 millions.. hata seriakali iseme gari zinazo anzia 100 million kwenda juu ziingie bila ushuru tutaanzisha malalamiko mingine
gari ambayo sijawa maliza sahani ya mzungu tu.. nayo nilibakiza 20kmh. nifute sahani.. niligusa 240 hizi za japan IST nilishindwa fika 180 maana haifikiUnaweza kuta gari mpaka siku linauzwa scrapper halijawahi tembea hata 160km/HR linakufa na utamu wake
Acha kuwafundisha kazi Viongozi
kama gari inakifua kipana.. ubungo hadi kivulink unamaliza 260.. kikubwa gari iwe na kifua kinene sasaHuzimalizi mjini hizo labda uende Mwanza au Mbeya
Safari ya mkesha uwe na chombo mtoto mkali sana, anaejua kudeka..Eeh kama unajijua huna tatizo la kusinzia ni vema ila kama hutoboi bila kulala achana na safari za mikesha
Hahahahah anaweza akalala akakuacha mwenyewe😂 raha uwe na mtu wa storySafari ya mkesha uwe na chombo mtoto mkali sana, anaejua kudeka..
🤣Hiko kifua labda kiwe cha SVR lile la 575HP ila pia 260 huipati kivulini ni pafupi sana. 180 pale uhakikakama gari inakifua kipana.. ubungo hadi kivulink unamaliza 260.. kikubwa gari iwe na kifua kinene sasa
unatakiwa kumtesa, mnapofika kanakuwa hoi kama teja.. akianza lala unafungua dirisha dk 1 ufo kibati hata 180 😂😂 uone kama atalalaHahahahah anaweza akalala akakuacha mwenyewe😂 raha uwe na mtu wa story
Hahaha hio ni vayolensunatakiwa kumtesa, mnapofika kanakuwa hoi kama teja.. akianza lala unafungua dirisha dk 1 ufo kibati hata 180 😂😂 uone kama atalala
hapo hata Lexus baadhi ya model una hit 260 kwa ule umbali.... usiku huwa kweupe.. na hata mchana wakati mwingine🤣Hiko kifua labda kiwe cha SVR lile la 575HP ila pia 260 huipati kivulini ni pafupi sana. 180 pale uhakika
Ngoja tumtafute Isanga family.. atuangalizie VW Scirocco 2.0 TSI ya kuanzia 2015.. tutoboke mifukoni naona kwenye dash kama 320 kwa 300Hahaha hio ni vayolens
Lexus ile ya 472HP ile IS500 sedan inawezekana body jepesihapo hata Lexus baadhi ya model una hit 260 kwa ule umbali.... usiku huwa kweupe.. na hata mchana wakati mwingine
Kale katakurestisha in pisi🤣 kanafyatuka kama AK47Ngoja tumtafute Isanga family.. atuangalizie VW Scirocco 2.0 TSI ya kuanzia 2015.. tutoboke mifukoni naona kwenye dash kama 320 kwa 300