Serikali punguzeni customs vijana wanunue chuma kama hiki

Serikali punguzeni customs vijana wanunue chuma kama hiki

unafikiri hata ukiambiwa usilipie ushuru hilo gari wangapi wataweza kununua? Acheni kusingizia ushuru hata bila ushuru SUV mpya ya maana wengi hawawezi kununua. SUV nyingi tunazozipenda zenye majina bei bila ushuru inaanzia $50,000. Kama una hela hii huwezi kulialia ushuru kwasababu zipo gari za maana kwa hela hio zinafika uani kwako brand new. Tembelea CFAO,CMC,NISSAN,FK Motors etc
Bro,
Umeamua kututolea uvivu na visingizio vyetu 😎
 
mbali ya tochi, usiku bado ni salama zaidi kwa safari ndefu, ili mradi usifikwe na kusinzia
Nilimwona uncle anasinzia kwenye sterling Basi Mimi muda WOTE ni kumpigisha story..

Nazungumza hiki nazungumza kile ili mrad awe busy maana alianza kusinzia

Ukitoka DAR MPAKA DOM ma trucks ni mengi Sana ni mwendo wa kuya overtake

At least Dom kwenda huko mbele SINGIDA na kuendelea malori yanapungua pungua..
 
Mimi binafsi sipendi ma speed kwenye hizi barabara zetu za third world countries.

Nilisafir kwa premio X kutoka dar mpaka Tabora na kurud Ila wasiwasi muda WOTE njiani usiku mnapishana na malori mengi kweli kweli
Of course barabara zetu ni changamoto, Mimi nikiwa kipande cha Igawa hadi Mafinga kama ni usiku nafika japo 140km/hr maana kiko vizuri
 
unafikiri hata ukiambiwa usilipie ushuru hilo gari wangapi wataweza kununua? Acheni kusingizia ushuru hata bila ushuru SUV mpya ya maana wengi hawawezi kununua. SUV nyingi tunazozipenda zenye majina bei bila ushuru inaanzia $50,000. Kama una hela hii huwezi kulialia ushuru kwasababu zipo gari za maana kwa hela hio zinafika uani kwako brand new. Tembelea CFAO,CMC,NISSAN,FK Motors etc
Hizo USD ni almost 150M za madafu mkuu wengi ubavu unaishiaga 75-80M kwa wapambanaji😂
 
Back
Top Bottom