Serikali punguzeni customs vijana wanunue chuma kama hiki

Serikali punguzeni customs vijana wanunue chuma kama hiki

Million 230 bei yake kwa toleo la mwaka 2025 yametoka tarehe 1 September yaani juzi tu
Kama una uwezo wa kutoa hizo basi I'm sure hata ushuru hautakubabaisha tena kwa jeuri unalipakia kwenye Ndege
Eeeh hii angalau imeenda,sio kama LC300 yaani mil500 inakanyagwa kwenye lami,inapishana na maguta kariakoo
 
😂😂😂🙌Mkuu hapa sijakuelewa kanafyatukaje?
Oya hicho kidude kina Turbocharger, Supercharger na Direct Shift Gearbox.

Hio combination ni balaa yani inaanza supercharger kupush mzigo ukifika 3000 rpm plus Turbocharger inapokea. Plus direct shift inafanya smooth shifts between gears sababu kuna dual clutch operation without power loss between shifts.
 
Bro huo ni ujana tu una ghururi by the way haikuwa bongo ni ughibuni bongo hakuna hizo barabara za kwenda hiyo speed 120 to 140 ni speed ya kawaida kwa hapa nilipo speed nyengine ni 180 DXb to Muscut nimendesha gari Citroen.
Ok!

Nasikia huko duniani kuna barabara unazoruhusiwa kukimbia kwa kadiri ya uwezo w gari lako. Ukiweza kwenda 260 rukhsa!
 
Huzimalizi mjini hizo labda uende Mwanza au Mbeya

Hata huko mikoani mwisho kabisa nimewahi kugusa 200 tu.

Mjini nnakua hapa

Screenshot_2024-09-03-20-19-31-69_99c04817c0de5652397fc8b56c3b3817.jpg

Tena inabidi nimtafute RRONDO aniangalizie hizo errors, mfumo wa umeme haufanyi kazi, ni full mwarabu no EV mode.
 
Oya hicho kidude kina Turbocharger, Supercharger na Direct Shift Gearbox.

Hio combination ni balaa yani inaanza supercharger kupush mzigo ukifika 3000 rpm plus Turbocharger inapokea. Plus direct shift inafanya smooth shifts between gears sababu kuna dual clutch operation without power loss between shifts.
Ngojea similiki gari ila hii nitajitahidi iwe gari yangu ya kwanza inaonekana hii ukipata road haina Jam ni kama umepanda SGR😁😁😁😁.
 
Back
Top Bottom