Speed 150Km/h una akili? Au umeifananisha na ndege vita zikiwa angani? Mfano unawahi nini!Nyakati za Usiku barabara nyingi zinakuwa na traffic chache, nimekuwa mdau wa kusafiri sana usiku Kwa kukwepa Tochi za hao ndugu zetu...
Kama una mwendo wa 150km/Hr na hilo Volvo lako, Kufika Morogoro ni kugusa tu kutokea DSM
Huo ndio ukweli mie nasafir pia mara moja moja Usiku hasa ule Usiku unaokaribia Alfajiri.Mabasi mengi siku hizi wanasafiri usiku...bila Shaka unaipinga hi idea[emoji3][emoji3]
Traffic njaa kali sanaHahahah eti kisa una gari kali kwahio una kuwa mfadhili wa tabu zao kila siku ahahah
Katika kutetea, kulinda, kudai au Kupigania haki zako, usiogope kifo.And be careful when you are right and the government is wrong
By Voltaire
Ukimtembelea huyo mtaalamu wa Volvo leta mrejeshoHawako serious kabisa, kingine wengi ni wauza vifaa lakini sio mafundi wazuri. Wanaokota vijana wafanye kazi.
Atlantic wa Coca-cola kidogo wanajitahidi na wanavifaa vya kazi.
Nimeambiwa Kuna mtaalam wa Volvo Kimara, Bado sijaenda kumtembelea.
Ntafanya hivyo Mkuu. Nimepata hamasa ya kumtembelea baada ya kupata shuhuda za watu wawili nnaowafaham aliwafanyia kazi vizuri sana. Saa kwakuwa Mimi ni Tomaso, nataka nikajithibitishie mwenyewe.Ukimtembelea huyo mtaalamu wa Volvo leta mrejesho
Gari yenye speed meter ya 260km/hr ukiiendesha Kwa speed ya 50km/hr ni kulionea tu japo tahadhali ni muhimuSpeed 150Km/h una akili? Au umeifananisha na ndege vita zikiwa angani? Mfano unawahi nini!
Bro hii ukiifunga jembe itafaa kwenye shughuli za kilimo? Nina shamba madibila huku,kilimo cha kutegemea jembe la kukokotwa na maksai si cha tijaUtakutana na kodi ya kujengea nyumba ya vyumba vinne na sebule
Ni kweli,naelewa. Lakini,hizo barabara za kukimbia speed hiyo sisi tunazo? Unaweza furahia kuliendesha,usipoanguka,utagonga mtu au mali ya watu.Gari yenye speed meter ya 260km/hr ukiiendesha Kwa speed ya 50km/hr ni kulionea tu japo tahadhali ni muhimu
Hao Trafic wanakuwa wanakuangalia tu na tochi zaoNiliendesha Volvo Siku moja hapa DSM, nilichogundua ukitaka kulifaidi hilo gari nenda nalo safari ndefu, mathalani DSM - Mbeya ama DSM - Mwanza
Gari Lina speed meter ya 220 ama 240 kama sijakosea.
Kwahiyo ukilipiga full tank halafu utoke DSM saa 12 Jioni hivi kuitafuta Morogoro itakuwa ni mwendo wa saa 1:30 tu 🙌
Ni kwer ndio nayoitaji maana uaminifu Niko nao mbnConnection inatengenezwa kwa uaminifu mkuu. Bila uaminifu utatafuta connection bila mafanikio yeyote. Ukiaminikia utaipata tu
Nyakati za Usiku sio rahisi kupigwa TochiHao Trafic wanakuwa wanakuangalia tu na tochi zao
Umesema sahihi Mkuu, ndiyo maana ukiwa dereva ni muhimu sana kuwa makini barabarani.Ni kweli,naelewa. Lakini,hizo barabara za kukimbia speed hiyo sisi tunazo? Unaweza furahia kuliendesha,usipoanguka,utagonga mtu au mali ya watu.
Kiwanda cha kuzalisha nini?Million Mia mbali hamsini bongo unaweza kugungua kiwanda kikubwa kiasi chake
Noma sana🔥Sasa wewe ulifikisha speed ngapi .Mimi nimefikisha speed yangu 240 Nissan Maxima ambayo ilikuwa na 260.
Kuna watu wanaishi maisha ya kuigiza: akiona wanavokata gari kwenye movie,au msafara wa raisi,nae anajua akithubutu anaweza. hawafikilii kwamba gari tunazoletewa sisi ni screpa,na hazina hadhi ya kukimbizwa hivo.. Ongezea madereva wasio na uelewa. Mtu anaejitambua,ambae ni dereva kweli,kwenye mambo mengi ya kuzingatia,Afrika mashariki hatujafikia hata 10%.Umesema sahihi Mkuu, ndiyo maana ukiwa dereva ni muhimu sana kuwa makini barabarani.
Kuna rafiki yangu Mzungu, aliniambia Siku Moja wakati namsindikiza airport kwamba kuendesha gari Tanzania ni hatari kama kucheza na Simba mwenye njaa Kali
Barabara zetu nyingi ni changamoto.
Unaweza kuwa unaendesha unakutana na shimo kubwa katikati ya barabara, usipokuwa makini unaweza kuangusha gari ama kusababisha ajali
Hao Trafic wanakuwawanakuangalia tu ba tochi zaoNiliendesha Volvo Siku moja hapa DSM, nilichogundua ukitaka kulifaidi hilo gari nenda nalo safari ndefu, mathalani DSM - Mbeya ama DSM - Mwanza
Gari Lina speed meter ya 220 ama 240 kama sijakosea.
Kwahiyo ukilipiga full tank halafu utoke DSM saa 12 Jioni hivi kuitafuta Morogoro itakuwa ni mwendo wa saa 1:30 tu 🙌
Ruvu,mikese,nk tochi zipoNyakati za Usiku sio rahisi kupigwa Tochi
Mikese nyuma kidogo kama unatoka dsmHao Trafic wanakuwawanakuangalia tu ba tochi zao
Ruvu,mikese,nk tochi zipo
Umesema sahihi Mkuu, Kuna Vijana wanaendesha Alteza wanakimbia balaaKuna watu wanaishi maisha ya kuigiza: akiona wanavokata gari kwenye movie,au msafara wa raisi,nae anajua akithubutu anaweza. hawafikilii kwamba gari tunazoletewa sisi ni screpa,na hazina hadhi ya kukimbizwa hivo.. Ongezea madereva wasio na uelewa. Mtu anaejitambua,ambae ni dereva kweli,kwenye mambo mengi ya kuzingatia,Afrika mashariki hatujafikia hata 10%.
Ila waache wanaotafuti kifo waende.