Serikali punguzeni customs vijana wanunue chuma kama hiki

kwahiyo kama speed yake 200km basi na ww ndo mwendo wa 200km/h hamna 60 wala 80km alafu na hio barabara ya kwenda km 200 nayo umeinunua ww.!
 
Labda humo barabarani uwe mwenyewe tu
 
Na foleni za dar-moro hutoboi muda huo
 
Dar-molm
Dar-moro usiku kunakuwa na jam sana sababu gari kibao wanaondoka usiku kukwepa jam za mchana ukivuka moro saw
 
Nyakati za Usiku barabara nyingi zinakuwa na traffic chache, nimekuwa mdau wa kusafiri sana usiku Kwa kukwepa Tochi za hao ndugu zetu...

Kama una mwendo wa 150km/Hr na hilo Volvo lako, Kufika Morogoro ni kugusa tu kutokea DSM
150km/hr? Unakimbilia nini huko mkuu? Kama una haraka kiasi hicho si bora upande ndege?
 
Sasa wewe ulifikisha speed ngapi .Mimi nimefikisha speed yangu 240 Nissan Maxima ambayo ilikuwa na 260.
 


260km/hr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…