kwahiyo kama speed yake 200km basi na ww ndo mwendo wa 200km/h hamna 60 wala 80km alafu na hio barabara ya kwenda km 200 nayo umeinunua ww.!Niliendesha Volvo Siku moja hapa DSM, nilichogundua ukitaka kulifaidi hilo gari nenda nalo safari ndefu, mathalani DSM - Mbeya ama DSM - Mwanza
Gari Lina speed meter ya 220 ama 240 kama sijakosea.
Kwahiyo ukilipiga full tank halafu utoke DSM saa 12 Jioni hivi kuitafuta Morogoro itakuwa ni mwendo wa saa 1:30 tu 🙌