Big4 ni kampuni za kimataifa na wanakuwa regulated kwenye nchi zenye sheria kali za kodi. Sio rahisi kukubali kuhongwa kuharibu hadhi yao kirahisi.Hao Big4 watakuwa wanafanya tax audit ipi ambayo TRA haifanyi? Kumbuka auditors ni wabongo tu ambaye akipata fursa anapiga. Kwa jinsi kodi yetu inavyoliwa na CCM hata mimi mkinipa nitapiga tu. Tunakazania kodi tu halafu matumizi yake hatuna time nayo. Mzee wa skafu anatumia kununua timu tu, anabadili timu kama shati
Tutafute basi makampuni ya ukaguzi ya Waarabu au Wachina kama tunavyowapa kandarasi za kujenga barabara na kuendesha bandari na mwendokasi.Hiyo hela ya Kuwalipa hizo kampuni za Mabilionea, ni sawa na hela inayokwepwa na Wafanyabiashara mafisadi wa Tanzania. Watatuingiza mkenge tu-Wanaupendeleo
Hii ya kwamba suluhisho la matatizo yetu yatatatuliwa na "Wazungu" tuondekane nayo kabisa-hapendwi mtu. Tuachane na hizi fikra.
Hata hivyo kama wao ndio wameweza kuwa suluhisho la kukusanya kodi zao huko, kwanini Wakuu wa nchi kubwa za Kiuchumi, bado wanataka wafanyabiashara wakubwa watozwe 15% ya mapato yao?
Sio, kila kitu Wazungu tu.
Naona unawatetea "wafadhali" wa kampeni za chama cha kijani.Unacho kitafuta utakipata
wasiishie tu kwenye kodi na ukaguzi wa matumizi ya pesa kwenye mashirika ya serikali pia uhusishe external international auditors.Mnachotakiwa kufanya ni kila mwaka kuwapa kandarasi mmojawapo Big four wa audit ambao ni KPMG, E&Y, PWC au Delloite wafanye ukaguzi wa nje "External Audit" kwa wafanyabiashara wakubwa 1000 na wa wakati 1000 ambao mahesabu yao ya kodi tayari yameshapitishwa na TRA.
Hao wafanyabiashara wakubwa na wa kati wanakuwa wanachaguliwa kupitia bahati nasibu "Randomly" kila mwaka na kila mwaka mnakuwa mnabadilisha kampuni ya nje ya ukaguzi kati ya hizo big four.
Inabidi tutafute definition ya wakwepa kodiNaona unawatetea "wafadhali" wa kampeni za chama cha kijani.
Nina hakika kodi zikikusanywa kwa usahihi na zikatumika kwa usahihi walau 85% ndio itakuwa mwisho wa CCM.Inabidi tutafute definition ya wakwepa kodi
Hiyo sio hoja yangu. Usikwazike.Tutafute basi makampuni ya ukaguzi ya Waarabu au Wachina kama tunavyowapa kandarasi za kujenga barabara na kuendesha bandari na mwendokasi.
Acha ulevi Wafanyabiashara Wakubwa Ndio wamo serikalini humo humoMnachotakiwa kufanya ni kila mwaka kuwapa kandarasi mmojawapo Big four wa audit ambao ni KPMG, E&Y, PWC au Delloite wafanye ukaguzi wa nje "External Audit" kwa wafanyabiashara wakubwa 1000 na wa wakati 1000 ambao mahesabu yao ya kodi tayari yameshapitishwa na TRA.
Hao wafanyabiashara wakubwa na wa kati wanakuwa wanachaguliwa kupitia bahati nasibu "Randomly" kila mwaka na kila mwaka mnakuwa mnabadilisha kampuni ya nje ya ukaguzi kati ya hizo big four.