Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni changamoto sana
Mnachotakiwa kufanya ni kila mwaka kuwapa kandarasi mmojawapo Big four wa audit ambao ni KPMG, E&Y, PWC au Delloite wafanye ukaguzi wa nje "External Audit" kwa wafanyabiashara wakubwa 1000 na wa wakati 1000 ambao mahesabu yao ya kodi tayari yameshapitishwa na TRA.
Hao wafanyabiashara wakubwa na wa kati wanakuwa wanachaguliwa kupitia bahati nasibu "Randomly" kila mwaka na kila mwaka mnakuwa mnabadilisha kampuni ya nje ya ukaguzi kati ya hizo big four.
Sio rahisi kuwapa hongo big four, hadhi yao ni ya kimataifa, hawawezi kukubali kufanya madudu kirahisi.
KFC ya Tanzania inatakiwa kufuata standards za KFC ya USA ili iendelee kuwa kwenye franchise, vivyo hivyo kwa hizo big four.Big four ni franchise business tu kama ilivyo KFC, yaani wananunua jina na kulilipia fees. PWC Tanzania haina uhusiano wowote na PWC USA
Auditor wa PWC ni wale wale wa Tanzania wapenda rushwa kama waliopo kampuni zingine
KFC ya Tanzania inatakiwa kufuata standards za KFC ya USA ili iendelee kuwa kwenye franchise, vivyo hivyo kwa hizo big four.
Unafahamu kwamba EY duniani kote wanakuwa na standards sawa?
Sidhani kama kweli wewe umepita EY au unafahamu inavyofanya kazi. Sasa fahamu Coca-Cola unayokunywa Tanzania ndio Coca-Cola ile ile inoyonywewa South Africa na inayonywewa Marekani, kunaweza kuwa na tofauti za ujazo wa chupa lakini ingredients ni zile zile na formula ni ile ile japo ni franchise business.hapana standards hazifanani.
standards zinawekwa kutokana na taratibu za nchi husika ambayo kampuni imesajiliwa . hizi kampuni zinatumia jina moja kama Brand tu ila uhalisia each of which is a separate legal entity.
Mfano USA wana utaratibu wao ambao haufanani na uingereza. Hivyo haiwezekani EY ya uingereza iwe na taratibu sawa sawa na EY ya California.
Standards zinawekwa kutokana na sheria za nchi husika, mfano ACCA ama CPA ya Tanzania haitambuliki marekani, sasa utawekaje Standards ama utaratibu uwe sawa sawa wa kazi ama wa kuajiri Auditor wa EY Tanzania na EY USA uwe sawa sawa kwa mfano ?
Sidhani kama kweli wewe umepita EY au unafahamu inavyofanya kazi. Sasa fahamu Coca-Cola unayokunywa Tanzania ndio Coca-Cola ile ile inoyonywewa South Africa na inayonywewa Marekani, kunaweza kuwa na tofauti za ujazo wa chupa lakini ingredients ni zile zile na formula ni ile ile japo ni franchise business.
Nenda kasome kuhusu EY Global Code of Conduct.