Una allergy na wazungu?Hiyo sio hoja yangu. Usikwazike.
Fees zitakazo lipwa kufanya ukaguzi huo, zitakuwa ni sawa na pato linalopotea kwa ukwepaji wa Kodi.
Tuondokane na Fikra za Ukuu wa Wazungu.
Kwa yeyote anayetaka kuelewa haya Makampuni yanavyofanya kazi, watafute Jinsi sakata lile Evergrande group, ilivyokuwa. Hawa wanalala na Matajiri.
Kukwepa kodi ni Tax avoidance ambayo ni halali kisheriaWewe unaijua definition ipi?
Siyo kweli. Hayo makampuni yanajulikana kwa Rushwa. Itoshe hamtaki Tanzania iwe na sheria kali. Kipindi cha nyuma tuliona Jinsi hizihizi sheria zetu zilivyosimamiwa kwa ukamilifu, ulisikia urahisi wa kuhongwa au kutoa hongwa?Big4 ni kampuni za kimataifa na wanakuwa regulated kwenye nchi zenye sheria kali za kodi. Sio rahisi kukubali kuhongwa kuharibu hadhi yao kirahisi.
Uko 100% right. Yaani ukiwa unawalipa vizuri, wao wanatafuta Loopholes kwenye sheria, ikibidibhata kuwaandikia ripoti ya kufilisika, alimradi kodi zao zinakuwa chini.Sasa hao Big Four si ndo Auditors wa hayo makampuni? Sioni kama serikali kuwapa kandarasi itasaidia chochote
Una allergy na wazungu?
TRA ipo competent na wana vitengo vya Auditing safi kabisa. Hii la kusema eti uwape Big Four wafanye audit kwa maslahi ya serikali ni UTANI unaopaswa kupuuzwa kabisa. Wiki iliyopita KPMG Ireland nadhani imepigwa faini Euro 25m kwa kudanganya mamlaka za huko! Watu wanadhani hawa Big Four ni smartest in the room! they are bunch of wajanja wajanja tu hakuna kitu chochote. Hadi Samia anajua kuwa wafajyabiashara wanakwepa kodi maana yake ana facts mezani ambazo wala sio Big Four wamempa. Ni Jukumu la Rais kuwapa meno zaidi TRA na vitengo vyake wafanye kazi kwa muibu wa sheria.Uko 100% right. Yaani ukiwa unawalipa vizuri, wao wanatafuta Loopholes kwenye sheria, ikibidibhata kuwaandikia ripoti ya kufilisika, alimradi kodi zao zinakuwa chini.
Hawa wanaona Nchi yetu imeanza kuwa makini na Ukwepaji huu wa Kodi. Wanatafuta pakutokea. Sas utaanza kuona Uzi kama hizi nyingi tu sasa, wakiponda ufanisi wa TRA n.k
tuwaambie pia kuwa KPMG Netherlands imepigwa fine USD 125 M kwa udanganyifu wa mitihani https://www.wsj.com/articles/kpmg-fined-25-million-over-alleged-netherlands-exam-cheating-a4dcba2aSiyo kweli. Hayo makampuni yanajulikana kwa Rushwa. Itoshe hamtaki Tanzania iwe na sheria kali. Kipindi cha nyuma tuliona Jinsi hizihizi sheria zetu zilivyosimamiwa kwa ukamilifu, ulisikia urahisi wa kuhongwa au kutoa hongwa?
Hizo kampuni Zimeshiriki katika sakata za Rushwa na ubadirifu, na hadhi zao zinalindwa kwa kutumia pesa na influences walizonazo kwa watu wanao wachangia kwenye uchaguzi zao, Wanasiasa. Usiwaoshe. Umetumwa?
Ujiulize tu, ikiwa nchi hizo zina sheria kali za Kodi inakuwaje hayo makampuni yanawasaidia Mabilionea kukwepa kodi? Hizo sheria zinakuwaga wapi wakiwa wanafanya hayo madudu yao?
Tusidanganyane, Sheria zetu, karibia nyingi za Fedha ni sheria hizo hizo za Ulaya na Marekani. Na iwa msingi huo , sheria zetu nazo ni "kali" sema hazifuatwi kwa Ukamilifu.
Na niongezee tu,Tanzania imekuwa ikifuata standards za Kihasibu za Nje, hata hivi majuzi CAG amegusia kuhusu kufuata utaratibu huo, point ni kwamba sheria zipo, kanuni na miongozo ipo, ila Rushwa imetamalaki.
Tunakukumbuka Comrade.
Kampuni kubwa ambazo zinakaguliwa na Big Four sio rahisi kuwa na shida kubwa za kodi, pia kuna nature ya Kampuni mfano ambazo ni PLC huwezi kutegemea ukwepaji kodi kirahisi mfano Mabenki, SBL, TBL n.kSasa hao Big Four si ndo Auditors wa hayo makampuni? Sioni kama serikali kuwapa kandarasi itasaidia chochote
Wewe bado huuelewi vizuri mfumo wa nchiNina hakika kodi zikikusanywa kwa usahihi na zikatumika kwa usahihi walau 85% ndio itakuwa mwisho wa CCM.
Imagine kila baada ya miaka 5 wananchi wanaenda kudanganywa tumewaletea maji hapa , umeme , tumejenga madarasa na wanapiga makofi kushangilia bila kujua sio hisani bali ndio matumizi ya kodi zao.
Angalia msafara wa Makonda akiwa mwenezi magari mpaka ya serikali yamo kwenye msafara who should be held accountable for such misappropriation??
Umewahi kusika Commissioner General wa TRA au meneja wa TRA amefungwa mahakamani kwa udanganyifu?tuwaambie pia kuwa KPMG Netherlands imepigwa fine USD 125 M kwa udanganyifu wa mitihani https://www.wsj.com/articles/kpmg-fined-25-million-over-alleged-netherlands-exam-cheating-a4dcba2a
Hata Halmashauri na mashirika ya serikali yana vitengo vyao vya auditing ila huwa wanafanyiwa ukaguzi wa CAG kila mwaka.TRA ipo competent na wana vitengo vya Auditing safi kabisa. Hii la kusema eti uwape Big Four wafanye audit kwa maslahi ya serikali ni UTANI unaopaswa kupuuzwa kabisa. Wiki iliyopita KPMG Ireland nadhani imepigwa faini Euro 25m kwa kudanganya mamlaka za huko! Watu wanadhani hawa Big Four ni smartest in the room! they are bunch of wajanja wajanja tu hakuna kitu chochote. Hadi Samia anajua kuwa wafajyabiashara wanakwepa kodi maana yake ana facts mezani ambazo wala sio Big Four wamempa. Ni Jukumu la Rais kuwapa meno zaidi TRA na vitengo vyake wafanye kazi kwa muibu wa sheria.
Kwa sababu na wewe ulisema 2025 utaenda kugombea Mbozi huko basi unajiandaa kwenda kudanganya watu with the same narratives za tutawaletea maji , umeme, tutajenga madarasa maana watanzania wengi hawajitambui na hawajui haki zao hivyo ni mtaji wa watawala.Wewe bado huuelewi vizuri mfumo wa nchi
We una uhakika hayo mabenki hakuna namna hayakwepi kodi??Kampuni kubwa ambazo zinakaguliwa na Big Four sio rahisi kuwa na shida kubwa za kodi, pia kuna nature ya Kampuni mfano ambazo ni PLC huwezi kutegemea ukwepaji kodi kirahisi mfano Mabenki, SBL, TBL n.k
Well said. I absolutely agree, TRA waongezewe meno na sheria zitumike kwa ukamilifu, na kama sheria haijitoshelezi, unatunga nyingine tu.TRA ipo competent na wana vitengo vya Auditing safi kabisa. Hii la kusema eti uwape Big Four wafanye audit kwa maslahi ya serikali ni UTANI unaopaswa kupuuzwa kabisa. Wiki iliyopita KPMG Ireland nadhani imepigwa faini Euro 25m kwa kudanganya mamlaka za huko! Watu wanadhani hawa Big Four ni smartest in the room! they are bunch of wajanja wajanja tu hakuna kitu chochote. Hadi Samia anajua kuwa wafajyabiashara wanakwepa kodi maana yake ana facts mezani ambazo wala sio Big Four wamempa. Ni Jukumu la Rais kuwapa meno zaidi TRA na vitengo vyake wafanye kazi kwa muibu wa sheria.
Tuanze na kodi zinapokwenda zikiwa zinatumiaka vizuri itakuwa ngumu mtu kukwepa kulipa.Matatizo yote haya yanatakiwa kushughulikiwa pamoja.