Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Hii issue ya kigogo 2014 unanikumbusha muvi moja ya kikorea inaitwa
BRIDAL MASK
Bridal mask Ni muvi inayo mwelezea jamaa mmoja ambae alikua anavalia mask na kupigania haki za Wanyonge wa taifa lake....
Huyu jamaa hakuwai kujulikana na alikua mwiba kwa serikali
Pamoja na mitego ya kila Aina Ali ibuka shujaa
Kuna Mambo mengi Sana ya kujifunza kweny hii muvi....
Inafanana na kisa Cha kigogo....

Kwa mtazamo wangu nchi yeyote inayo yumba ki utawala lazima kina kigogo watokee
 
Wanamtafuta amefanya kitu gani?
 
We ni mataga mpumbavu.
Kigogo kakosea nini had I mchote pesa BoT
 
Wanamtafuta amefanya kitu gani?

Hii issue ya kigogo2004 unataka kufanana na Inanikumbusha matukio kadha wa kadha kwenye hii kikorean drama series.....

Leo nimejikuta Nakumbuka series ya BRIDAL MASK
Hasa hasa pale kaka MTU anafariki MBELE ya mdogo MTU.....

Kwa ambao hawajawai ionaa........ilikua IVI ..

Lee Kang To (Joo Won), the younger brother, is a rising star in the police force and works with the Japanese police to capture "Bridal Mask" a mysterious freedom fighter who fights for independence wearing a traditional Korean bride's mask. However, Kang To is unaware that his prey, "Bridal Mask" is in fact his older brother, Lee Kang San (Shin Hyun Joon). Kang To's life is irrevocably changed when Kang San is killed in front of his eyes by the Japanese police. The death of his beloved older brother drives him to take up the bridal mask of his fallen brother and fulfill his dream of freeing Korea from Japanese rule....

Embu tupia kipengele Chako Bora kwenye hii series.....
 
Aiseee...hatari!
 
Unaweza kuta hata Greyson Msigwa ni sehemu ya kigogo 2014.
 
Kama ni kweli kwa Msako kabambe ambao unaratibiwa vyema kabisa na Marafiki zetu ' Majiniasi ' kutoka Nchini Israeli angeshajulikana haraka tu.
Vipi hiyo ya Manara Haji umeipokeaje. Au umeandika haya baada ya hyo habari!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…