Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Akili kubwa hii. Jamaa kajaa tele Twitter muandiko wake wa zile herufi kuunganisha ni ule ule jina tofauti na bado ni moto wa kuotea mbali. Wengi hawajamstukia.
anatumia ijna gani?
 
Kigogo kapoa Sana siku hizi, atupie nondo mbili tatu kipindi hiki ambapo watia Nia Ni wengi kuliko wapiga kura
 
watu wanakwambia kabadili jina kimyakimya...wenye connection wanaendelea kumfaidi..check na BAK atakuambia
ni mind set tu jamaa kanaswa nina proof kwani kama wanajua kuweka new id yake au jina lake ni kosa waeke waache uwoga amini kanaswa
 
Akili kubwa hii. Jamaa kajaa tele Twitter muandiko wake wa zile herufi kuunganisha ni ule ule jina tofauti na bado ni moto wa kuotea mbali. Wengi hawajamstukia.
Huyo unayemsema ni fala tu ,anajiita Great thinker kaweka picha ya Jay Z bila kuiedit

Sio kigogo huyo Bali ni moja ya wafuas wake ,

Kigogo 2014 alishadakwa muda mrefu. ,hadi ile post pin ya Ben saanane waliiondoa

Kigogo 2014 yupo mikono salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…