Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Sema great thinker hapost doca za serikali kama kigogo2014
Hiyo account IPO kabla fatilia uandishi wa kigogo na huyu jmaa Ni mmoja pia makosa ya kiuandishi ya kigogo na huyo jmaa anayo wewe ndiyo kilaza hujachunguza
 
Leo nimefuatilia tena hiyo acc ya GreatThinker12 na anaonekana sio kigogo kutokana na aina ya uandishi wake pia na hata mwezi aliojiunga nayo.

Hata hoja aliyoleta kiongozi tena kwa ushahidi wa screenshot inathibitisha kabisa kuwa huyo sio kigogo.
 
Ila kigogo alisema pale Twitter kuwa anaenda likizo kwa muda
Akaunti yake amemwachia nani aitumie? Mana inatumika ila mambo yanayoandikwa ni wazi kuna watu wanaiendesha hyo akaunti mana sahzi hyo akaunti inasifia mwamzo mwisho juhudi za Mh. Rais na kuwaponda sana wapinzani tofauti na mwanzo
 
Huyu jamaa yupo ila kwa sasa amejikita sana instagrum huko twiter anapita ila haposti wala kukoment anadukua picha tuu anapost instagrum.
Naomba niishie hapo tafadhali.
Akaunti ya twitter kaiuza au? Mana siku hizi inaunga sana jitihada za awamu ya Tano na kuwatukana wapinzani mwanzo mwisho
 
Mimi sijawahi kuona tweet ambayo amesifia mhe rais labda kama unaweza ukaituma humu nione
Akaunti yake amemwachia nani aitumie? Mana inatumika ila mambo yanayoandikwa ni wazi kuna watu wanaiendesha hyo akaunti mana sahzi hyo akaunti inasifia mwamzo mwisho juhudi za Mh. Rais na kuwaponda sana wapinzani tofauti na mwanzo
Mimi nimeona tweet yake ya mwisho ilikuwa kwenye june 18
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…