Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Wewe watumia internet ya kawaida ambayo ni 2% ya internet wenzio wako 98% ambayo kuna dark web au deep web huko kuna watu wako encrypted huwez kuwa trace kwa namna yoyote hakuna cha system wala systeme
Ahsante kwa majibu safi maana wengi tunachoelewa ni kwamba ukiwa na degree zako 4 basi umeshajuwa vyote bila kujuwa kuwa technologia ina wenyewe walioamua kufundishika na kujifunza na katu huwezi trace labda utumie gharama kubwa kwenda kwenye vitengo vya wenzetu nje
 
Wewe watumia internet ya kawaida ambayo ni 2% ya internet wenzio wako 98% ambayo kuna dark web au deep web huko kuna watu wako encrypted huwez kuwa trace kwa namna yoyote hakuna cha system wala systeme
acheni uongo hata huko deep web na dark web watu wanashikwa hivohivo..hakuna mbabe wa internet
 
Kwa hiyo yule dada mpare wa taifa kule kwa mr Orange nae ni mtu wa system nae
Maana hajawah kamatwa pamoja na matusi
 
Tumemfollow wengi sana na tunamtakia mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe watumia internet ya kawaida ambayo ni 2% ya internet wenzio wako 98% ambayo kuna dark web au deep web huko kuna watu wako encrypted huwez kuwa trace kwa namna yoyote hakuna cha system wala systeme
Dada Shikamoo. Nisifiche hisia zangu nakuonaga sana jukwaa flani tu. Full miji picha. Yaani kwa mara ya kwanza nimefumania umepost huku kwingine live. Nimefurah sijui kwa nini.
 
Kujua mambo siyo lazima uwe na umri mkubwa. Kigogo ni umri wa kawaida mno ila ni mtu mwenye elimu kubwa na akili kubwa yaani kabahatika kuwa navyo vyote.
Haji kukamatwa kamwe ana njia na mbinu za kufichama mamia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe watumia internet ya kawaida ambayo ni 2% ya internet wenzio wako 98% ambayo kuna dark web au deep web huko kuna watu wako encrypted huwez kuwa trace kwa namna yoyote hakuna cha system wala systeme
Kwa trend iliyopo toka aanze kuandika vitu sensitive na top secret huko twitter ni rahisi sana kumtrace na kumpata ata kama atatumia darkweb, VPN, https,etc.
Maana kila taarifa anayoweka wazi ina access/security level. Kwa mfano attachment ya leo ya watu wa system waliopewa baraka ya System kugombea iliyokuwa addressed kwa DGIS ina access level zake. Si kila mtu anaweza kuandika directly kwa DGIS Diwani. Kuna level ukifikia ndo unakuwa cleread kuwasiliana directly na DGIS. Naamini unaninielewa. Na ukiwatrace wote walio na access hizo waweza 'discern' kigogo2014 ni nani. Maana attachment za top secrect 'siri' alizowahi bandika twitter ni nyingi sana na wote wenye access nazo wanajulikana.

Mind you hili bandiko lako au hii comment yako hapo juu naichukulia very seriously maana inaweza kuwa sehem ya spinning vile vile..na ukweli unaweza kuwa unaujua vile vile maana wewe pia ni 'wale wale' au kama sio 'wale wale' basi una affiliations nao.
Greetings from the 'other' side
Tchao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…