Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

U Unajuaje kama hawajaitumia kimya kimya? Kwani serikali mbalimbali zinapotoa "ransom" huwa zinatangaza? Sana sana husema hadharani kuwa hawawezi Ku "negotiate na kidnappers".
 
Wewe mjaluo mbona unanifuatafuata? Wewe na Kigogo lenu wote moja lazima tuwanyooshe mwaka huu!!
 
Kigogo ni invisible kwa kiswahili.
Kwa kiingereza ni MTU ASIYEONEKANA.
nipo tayari kubet
 
Umeandika kama kweli vile au ndio 😏😏😏😏😏😏😏😏
 
Nina uhakika likitangazwa dau la milioni 250 lazima kigogo mwenyewe ajisalimishe ili ale hilo li250
Dah...we jamaa umeng'ang'ana kweli na hiyo mil 250 kwanini 250 na si 100 ama 300? Nahisi unamjua vizuri huyo mtu na una kaproject kako kamepelea mil 250 so una uhakika wakitangaza tu hilo dau una uhakika ya kwako!
 
LUOGA/LUGOLA.
KIGOGO mtego aliotegewa ni ule wa Kuumwa kwa Rais na Kifo.
Pale ndipo alitegwa na amejulikana pale.
We jamaa unajua kutambua mambo

Hata mm niliamini ile Ni drill imefanywa na Kigogo kaingia kambani bila kujua .Kamtandao kake kanakompa taarifa kameingia mtegoni.

Ni vigumu Sana kushindana na Serikali makini
 
Sidhani kwa hawa vijana wetu wakiTZ kama wanaweza hii project baadala yake watacompromise naye tu na kumpa utajiri na mwisho wake watatuambia wamemkamata... Waende pale kwa vijana wa Romania wanaweza kupata msaada kwa bei rahisi, project kama hizi wanaziweza..

Lakini pia inaweza kuwa assignment nzuri kwa graduates wetu wa IT kwenye vyuo vyetu wapewe hiyo deal kwa hata 200mil takwa liwe moja lazima watumie mtandao kumpata sio mbinu nyingine..
 
U
Unajuaje kama hawajaitumia kimya kimya? Kwani serikali mbalimbali zinapotoa "ransom" huwa zinatangaza? Sana sana husema hadharani kuwa hawawezi Ku "negotiate na kidnappers".
Sasa wakiitumia kimya kimya, watu watajua je, kwani dau ndio huwavutia watoa taarifa, mbona USA, yeye huwa ameshaweka dau kwa kila kichwa cha mtu wanae mtafuta? Sasa kidnapping ni tofauti, ndio maana huwa dau linawekwa hadharani, ili kuwavutia wenye habari juu ya huyo anayetafutwa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…