Serikali / Simba mkimalizana na AS Vita Shughulikeni na Zahera

Hivi Yanga wapo kundi gani michuano hii? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Zahra anajihujumu mwenyewe kwani ubingwa hachukui salama yake ni Simba kushinda ili aweze kushiriki caf
 
Kachezeni mpira acheni mchecheto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuliko kubebwa na Mikia fc, bora tusishiriki kabisa. Na hatokaa itokee, ila Mikia fc uwaga anabebwa na Bwanake Yanga Sc, Timu ya wananchi, mifano IPO mingi sana. Povu ruksaa.
Zahra anajihujumu mwenyewe kwani ubingwa hachukui salama yake ni Simba kushinda ili aweze kushiriki caf
 
Zahera halipwi Mshahara. Anavoluntia! Tumfute kwa sbb zingine lkn sio Mshahara!
 
Mikia naona mnatapatapa naona mshakiona kifo hapo kesho kama ule msemo wenu wa Die unavyosema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maana hiyo ndio kusema Diplomats wa Congo na wana Congo waishio Tanzania wasiende kuishangilia timu yao kisa wanaishi katika ardhi ya Tanzania?!

Mtazamo wa hovyo sana huu!
 
Zahera ni mwehu, hajui tofauti ya timu ya taifa na vilabu na akathubutu kusema hamna kocha duniani hawezi isaidia timu ya nchi yake. Sidhani kama Guardiola ataisaidia barcelona iifunge Manu, only in Congo.
Ila nafikiri anatafuta kibatua pale Vita.
Teh teh teh,kweli Rage hakukosea kuwaita Mambumbumbu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…