Said S Yande
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 879
- 652
Simba mnatafuta kichaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yajayo yanakutisha basi unaweweseeeeka. Tulieni na walii wenu, muoaji yuko njianiDaah wewe ndo gongo kabisa nani anasema Okwi hajalipwa?? Mabakuli yako huko vyurani bora timu mpeni Akilimali awe mwenyekiti atawasaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe amewaambukiza Watanzania roho mbaya na visasi.!Tunampokonya working permit mpuuzi huyu
Baada ya dakika 90 tutajadili hilo.Tukimalizana Na VITA tunafuta Kibali Cha Kazi kwa Mamluki yoyote alieshirikiana Na Adui
Kachezeni mpira acheni mchecheto.Huyu ameamua kusaliti watanzania waliomweka hapa nchini. Tunaweza wasamehe watanzania ambao ni yanga wanaoisaidia AS Vita lakini hatuwezi samehe mkongo anayekula pesa za Watanzania anayewasaidia AS Vita.
Hata ingetokea kocha wa simba akasema aisaidie team ya nchi yake il hali anaishi tanzania anatumia kodi za watanzania angeshughulikiwa tu.
Zahera amevuka mipaka....nadhani aoneshwe mwisho wa mipaka yake ni wapi. Otherwise tukizidi kucheka na nyani tutavuna mabua. Sheria ichukue mkondo wake katika hili.
Na wenyewe wataanza kutumia bandari ya Mombasa..nani ataumia
Zahra anajihujumu mwenyewe kwani ubingwa hachukui salama yake ni Simba kushinda ili aweze kushiriki caf
Zahera halipwi Mshahara. Anavoluntia! Tumfute kwa sbb zingine lkn sio Mshahara!Huyu ameamua kusaliti watanzania waliomweka hapa nchini. Tunaweza wasamehe watanzania ambao ni yanga wanaoisaidia AS Vita lakini hatuwezi samehe mkongo anayekula pesa za Watanzania anayewasaidia AS Vita.
Hata ingetokea kocha wa simba akasema aisaidie team ya nchi yake il hali anaishi tanzania anatumia kodi za watanzania angeshughulikiwa tu.
Zahera amevuka mipaka....nadhani aoneshwe mwisho wa mipaka yake ni wapi. Otherwise tukizidi kucheka na nyani tutavuna mabua. Sheria ichukue mkondo wake katika hili.
Naona mmezidiwa fitna za nje ya Uwanja mnatafuta pakufia.Tunampokonya working permit mpuuzi huyu
Mikia naona mnatapatapa naona mshakiona kifo hapo kesho kama ule msemo wenu wa Die unavyosema.Huyu ameshindwa namna ya kuondoka Yanga yenye ukata wa fedha. Anataka afanyiwe vitimbwi na mashabiki wa Simba ili iwe sababu ya yeye kuiacha Yanga. Kwa ufupi alikuwa anawahimiza wachezaji wake wasiondoke Yanga kwa kutolipwa mshahara, ila sasa ameona yeye akiondoka kwa sababu hizo atakuwa amesaliti kile alichowahimiza wachezaji wake. Kwa hiyo ametafuta mbinu ili aseme ameondoka nchini kwa kuhofia usalama wake, lakini ukweli ni kukosa mshahara ndio kunamkimbiza
Naona mnahamishia zile mbinu za kizamani za siasa za CCM kwa Wapinzani wake wa ndani ya Chama na Nje.Tukimalizana Na VITA tunafuta Kibali Cha Kazi kwa Mamluki yoyote alieshirikiana Na Adui
Kesho asubuhi andamaneni kwa Bashite then atapeleka huo upuuzi wenu kwa Daddy wake.Huyu zahera naona njaa imeshafika kichwani sasa anaweweseka tu
Teh teh teh,kweli Rage hakukosea kuwaita MambumbumbuZahera ni mwehu, hajui tofauti ya timu ya taifa na vilabu na akathubutu kusema hamna kocha duniani hawezi isaidia timu ya nchi yake. Sidhani kama Guardiola ataisaidia barcelona iifunge Manu, only in Congo.
Ila nafikiri anatafuta kibatua pale Vita.
Hao washaona ule msemo wao wa Die unawafikia kesho so wanatafuta sehemu ya kufia.Mtoa mada tusi lako lipo hewani litakufika tu ....mfyuuuuuuuuuu huna haya!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Saa3 usiku wa kesho utapata jibuHivi Yanga wapo kundi gani michuano hii? 😀😀😀
Yanga haijawahi wala haitawahi kutegemea hisani ya Mambumbumbu kushiriki michuano ya Kimataifa.Zahra anajihujumu mwenyewe kwani ubingwa hachukui salama yake ni Simba kushinda ili aweze kushiriki caf