Serikali / Simba mkimalizana na AS Vita Shughulikeni na Zahera

Serikali / Simba mkimalizana na AS Vita Shughulikeni na Zahera

Hivi Yanga wapo kundi gani michuano hii? 😀😀😀
 
Zahra anajihujumu mwenyewe kwani ubingwa hachukui salama yake ni Simba kushinda ili aweze kushiriki caf
 
Huyu ameamua kusaliti watanzania waliomweka hapa nchini. Tunaweza wasamehe watanzania ambao ni yanga wanaoisaidia AS Vita lakini hatuwezi samehe mkongo anayekula pesa za Watanzania anayewasaidia AS Vita.

Hata ingetokea kocha wa simba akasema aisaidie team ya nchi yake il hali anaishi tanzania anatumia kodi za watanzania angeshughulikiwa tu.

Zahera amevuka mipaka....nadhani aoneshwe mwisho wa mipaka yake ni wapi. Otherwise tukizidi kucheka na nyani tutavuna mabua. Sheria ichukue mkondo wake katika hili.
Kachezeni mpira acheni mchecheto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuliko kubebwa na Mikia fc, bora tusishiriki kabisa. Na hatokaa itokee, ila Mikia fc uwaga anabebwa na Bwanake Yanga Sc, Timu ya wananchi, mifano IPO mingi sana. Povu ruksaa.
Zahra anajihujumu mwenyewe kwani ubingwa hachukui salama yake ni Simba kushinda ili aweze kushiriki caf
 
Huyu ameamua kusaliti watanzania waliomweka hapa nchini. Tunaweza wasamehe watanzania ambao ni yanga wanaoisaidia AS Vita lakini hatuwezi samehe mkongo anayekula pesa za Watanzania anayewasaidia AS Vita.

Hata ingetokea kocha wa simba akasema aisaidie team ya nchi yake il hali anaishi tanzania anatumia kodi za watanzania angeshughulikiwa tu.

Zahera amevuka mipaka....nadhani aoneshwe mwisho wa mipaka yake ni wapi. Otherwise tukizidi kucheka na nyani tutavuna mabua. Sheria ichukue mkondo wake katika hili.
Zahera halipwi Mshahara. Anavoluntia! Tumfute kwa sbb zingine lkn sio Mshahara!
 
Huyu ameshindwa namna ya kuondoka Yanga yenye ukata wa fedha. Anataka afanyiwe vitimbwi na mashabiki wa Simba ili iwe sababu ya yeye kuiacha Yanga. Kwa ufupi alikuwa anawahimiza wachezaji wake wasiondoke Yanga kwa kutolipwa mshahara, ila sasa ameona yeye akiondoka kwa sababu hizo atakuwa amesaliti kile alichowahimiza wachezaji wake. Kwa hiyo ametafuta mbinu ili aseme ameondoka nchini kwa kuhofia usalama wake, lakini ukweli ni kukosa mshahara ndio kunamkimbiza
Mikia naona mnatapatapa naona mshakiona kifo hapo kesho kama ule msemo wenu wa Die unavyosema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maana hiyo ndio kusema Diplomats wa Congo na wana Congo waishio Tanzania wasiende kuishangilia timu yao kisa wanaishi katika ardhi ya Tanzania?!

Mtazamo wa hovyo sana huu!
 
Zahera ni mwehu, hajui tofauti ya timu ya taifa na vilabu na akathubutu kusema hamna kocha duniani hawezi isaidia timu ya nchi yake. Sidhani kama Guardiola ataisaidia barcelona iifunge Manu, only in Congo.
Ila nafikiri anatafuta kibatua pale Vita.
Teh teh teh,kweli Rage hakukosea kuwaita Mambumbumbu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom