Serikali tafakarini kuongeza mishahara ya Watumishi wa Umma, ukali wa maisha ni bomu linaloua taratibu!

Serikali tafakarini kuongeza mishahara ya Watumishi wa Umma, ukali wa maisha ni bomu linaloua taratibu!

Unabisha mpaka unakera.. hii issue ipo kwenye welfare economics.. na ina relate moja kwa moja .. ni mambo gani yafanyika kama cost of living adjustment na moja wapo ni kuongeza mishahara ... Sasa sijui unabisha nini
Tufungulie hiyo page ya welfare economics, tuone kama inaeleza mwamba kupanda kwa mshahara ndio suluhisho la maisha bora kwa mtumishi
 
Tufungulie hiyo page ya welfare economics, tuone kama inaeleza mwamba kupanda kwa mshahara ndio suluhisho la maisha bora kwa mtumishi
Hizo ni paper zimefanyiwa utafiti watu wakaja na findings.. ntakuwekea hapa list ukavichambue
 
Alisema lakini sio haki na sio sahihi, kwa sababu hawa wafanyakazi wanazalisha kwa hiyo ni haki yao kupata nyongeza ya mshahara..

Ndo uchumi wa soko unavotaka na ndivo hata theory za wages zinasema, na ambazo zina justify ongezeko la mishahara
Uko sahihi, tatizo bwana huyu ametokea kuwachukia watumishi wa Umma.

Imagine 2015 ulikuwa na mshahara wa 980,000 na unastaafu mwaka 2022 ukiwa na mshahara uleule. Lazima upate pension nusu kijiko ambayo haitazidi 88M.

So sad 🙆🙆
 
Hizo ni paper zimefanyiwa utafiti watu wakaja na findings.. ntakuwekea hapa list ukavichambue
Tupe hizo paper za hao majaamaa. Na sisi tutaona mission zao katika hizo paper. Nasi pia tutawahoji, toka lini kupandishwa kwa mshahara kuwa eti ndio njia sahihi ya kuboresha maisha ya mtu??
 
Tupe hizo paper za hao majaamaa. Na sisi tutaona mission zao katika hizo paper. Nasi pia tutawahoji, toka lini kupandishwa kwa mshahara kuwa eti ndio njia sahihi ya kuboresha maisha ya mtu??
Soma hii article kwanza, uelewe rationale ya cost of living adjustment halafu ndo tuendelee kuzungumza.

 
Hao watumishi walikuwa ndo vibembelembele kwenye kampeni kwa kufanya hujuma wanazojua kutetea mfumo kandamizi ,wacha wakome ,Magufuli shikilia hapo hapo
 
Subiri kupanda maradufu pindi tuu itakapotokea mishahara imepanda bei. Maisha yako hayatobadilika, kisa mshahara mkubwaaa. Kikubwa nikwamba, mshahara wako huo mdogo upangilie hivohivoo. Sasa mshahara milioni moja mfano, matumizi milioni mbili kwa mwezii, bado utaendelea kulalamika tuuu.
Inasaidia kukopa bank, pension kubwa,na kuongeza motisha
 
Ukitaka kujua life isn't fair, ww ukilalamika maslah kuna kijana kakaa mtaani miaka 5 bila ajira, anataman apate hyo nafas alipwe ata hcho kipato kidogo.
 
Kama wale wa barabarani wameambiwa wachukue pesa ya kubrashia viatu kwa nini madaktari na wauguzi nao wasichukue pesa ya gloves na syringe, walimu wachukue pesa ya chaki, maafisa mifugo wachukue angalau maini wanapopima nyama, maafisa kilimo debe la karanga nk. nk. ili kuondoa upendeleo..
 
Doctor anazalisha nini
Dokta anazalisha pesa, wagonjwa wakienda hospital kuingia tu kumwona daktari ni pesa inaingia kwenye mfuko wa hospitali, kumtibu mgonjwa ni pesa nyingine hapo inaingia. Hizo fedha zote zinaingizwa serikalini, ndio hizo zinatumika kulipa mishahara yao na kupanua huduma za afya nchini.

Kwa upande wa walimu sasa hakuna fedha yoyote wanayo ingiza na mishahara wanapokea na ndio maana ni ngumu kuwaongezea mishahara, wangekuwa wanafunzi wao wanalipa ada basi hapo ingekua rahisi kuwaongezea mishahara.
 
Technically umekubaliana na mimi kwamba, ili kupunguza madhara ya inflation kwenye purchasing power lazima mshahara upande..

Sijui kwanini umempinga mwenzako?
 
Back
Top Bottom