Kiongozi mkuu2020
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 1,748
- 998
Subiri kupanda maradufu pindi tuu itakapotokea mishahara imepanda bei. Maisha yako hayatobadilika, kisa mshahara mkubwaaa. Kikubwa nikwamba, mshahara wako huo mdogo upangilie hivohivoo. Sasa mshahara milioni moja mfano, matumizi milioni mbili kwa mwezii, bado utaendelea kulalamika tuuu.Vitu upanda bei sababu ya supply kuwa ndogo,na si kwa kupanda kwa mshahara.Mafuta, sukari,vifurushi,nk bei juu Hali mshahara haijapanda mwaka wa 6 sasa