Serikali tafakarini kuongeza mishahara ya Watumishi wa Umma, ukali wa maisha ni bomu linaloua taratibu!

Serikali tafakarini kuongeza mishahara ya Watumishi wa Umma, ukali wa maisha ni bomu linaloua taratibu!

Vitu upanda bei sababu ya supply kuwa ndogo,na si kwa kupanda kwa mshahara.Mafuta, sukari,vifurushi,nk bei juu Hali mshahara haijapanda mwaka wa 6 sasa
Subiri kupanda maradufu pindi tuu itakapotokea mishahara imepanda bei. Maisha yako hayatobadilika, kisa mshahara mkubwaaa. Kikubwa nikwamba, mshahara wako huo mdogo upangilie hivohivoo. Sasa mshahara milioni moja mfano, matumizi milioni mbili kwa mwezii, bado utaendelea kulalamika tuuu.
 
Mnapenda kuongezewa mishahara huku wenzenu hawana ajira. Watu bhana
Kuongezwa mshahara sio function ya watu kutokuwa na ajira, ... Kuongezwa mshahara ni function ya productivity ya mfanyakazi husika.

So ikiwa anazalisha basi ni haki aongezewe mshahara kama compensation ya yeye kuongeza uzalishaji..

Umenisikia wewe kilaza!!!
 
Toka lini ukali wa maisha ukapunguzwa na nyongeza ya mshahara?? Subiri mishahara ipande utaona kila kitu kitapanda bei yake hata chumvi bei itakuwa juuuu. Mshahara hautoweza kubadilisha maisha yako kama unawaza ivoo.

Hii ni chamtoto sasa subiri mshahara upande utaniambia. Kwanza kodi lazima zupande, zaidii kila kitu kitakua juuu maradufuu.
Kwa hiyo unabishana na wachumi au?

Kupandisha mshahara ndo methodology ya kupunguza ukali wa maisha.. Usibishe tu kwasababu una bando la simu..
 
Kuongezwa mshahara sio function ya watu kutokuwa na ajira, ... Kuongezwa mshahara ni function ya productivity ya mfanyakazi husika.

So ikiwa anazalisha basi ni haki aongezewe mshahara kama compensation ya yeye kuongeza uzalishaji..

Umenisikia wewe kilaza!!!
Usiwaweke walimu wa shule za serikali hapo maana hakuna wanacho zalisha huko mashuleni. Hivyo naikataa hiyo kanuni yako.
 
Hakuna mwana economics anayesema kupandisha mshahara ndo njia sahihi ya kuboresha maisha ya watu. Kama yupo atakua mwanauchumi kanjanja.
Unabisha mpaka unakera.. hii issue ipo kwenye welfare economics.. na ina relate moja kwa moja .. ni mambo gani yafanyika kama cost of living adjustment na moja wapo ni kuongeza mishahara ... Sasa sijui unabisha nini
 
usiwaweke walimu wa shule za serikali hapo maana hakuna wanacho zalisha huko mashuleni. Hivyo naikataa hiyo kanuni yako.
Kuzalisha sio lazima iwe tangible goods.. hata service pia ni uzalishaji..

Kuwafundisha wanafunzi ni uzalishaji, jia hivo kuanzia leo..

Production ni inahusu tangible and intangible goods and services
 
Alisema hana mpango wa kuongeza mshahara hadi atakapo kamilisha miradi yake ya SGR, JNHPP and likes.

Mwisho wa siku watumishi wanastafu na kufa wakiwa maskini wa kutupwa. Refers formula ya Pension
 
Ukitegemea mshahara umeishaa[emoji1696]
Saasa na business nayo kipindi hichi ni mateso ya jehanamu.. from real time experience hata mazingira ya biashara sio mazuri kipindi hiki na cashflow ipo tight sana..
 
Alisema hana mpango wa kuongeza mshahara hadi atakapo kamilisha miradi yake ya SGR, JNHPP and likes.

Mwisho wa siku watumishi wanastafu na kufa wakiwa maskini wa kutupwa. Refers formula ya Pension
Alisema lakini sio haki na sio sahihi, kwa sababu hawa wafanyakazi wanazalisha kwa hiyo ni haki yao kupata nyongeza ya mshahara..

Ndo uchumi wa soko unavotaka na ndivo hata theory za wages zinasema, na ambazo zina justify ongezeko la mishahara
 
Back
Top Bottom