Serikali tafakarini kuongeza mishahara ya Watumishi wa Umma, ukali wa maisha ni bomu linaloua taratibu!

Serikali tafakarini kuongeza mishahara ya Watumishi wa Umma, ukali wa maisha ni bomu linaloua taratibu!

Jibu hoja vitu vimepanda bei mbona bila mishahara kupanda?
Jamaa ana theory eti inflation inatokana na demand pull ma cost push pekeake, anashindwa kuelewa inflation nyingi za nchi maskini zipo driven sana na upande wa supply ya vitu kama ulivosema mwanzo
 
Ukitaka kujua life isn't fair, ww ukilalamika maslah kuna kijana kakaa mtaani miaka 5 bila ajira, anataman apate hyo nafas alipwe ata hcho kipato kidogo.
Pitia uzi vizuri, hivi vitu viwili ni tofauti kabisa. Non related.. na nimetoa majibu kuhusu comment yako

Eti kwasababu watu hawana kazi ndo wengine wasiongezwe mshahara?
 
Mvivu tu wa kusoma
Kwa hiyo wewe kuelezea hizo demand pull na cost push ndo unajiona kwamba umeyapatia maisha??

Nimesoma ulichoandika ila nimeamua kuto ku comment kwa sababu ulichosema hakina uhalisia juu ya causes of inflation in developing countries.

Inflation in developing countries kama Tanzania ipo driven sana na supply side factors ambazo alielezea mdau Papi Ndomba lakini umempinga kwa kutokujua
 
Mmmh [emoji848]
 
Hoja sio mshahara kupanda, hoja ni namna gan ifanyike kuondoa tatizo la ugumu wa maisha, maana kila mtu analia, mkulima analia na bei pia analia na masoko hakuna, gharama kubwa ya uendeshaji wa kilimo yaan ni shida tupu
 
ukikuta mfanyakazi kila siku analalama kuongezewa mshahara basi ujue kuwa huyo ni mvivu si mchapa kazi bali kazi yake itakuwa maneno tu, mchapakazi huwezi kumkuta analalamika ovyo ovyo.
ila huwa sipendi kuona mtu ananyimwa au kucheleweshwa mshahara wake baada ya kufanya kazi, hiyo ndio dhuluma asiyo ipenda Mungu.
Kama kuna madeni au malimbikizo ya mishara yako walipwe kwani hiyo ni haki yao ni jasho lao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tufungulie hiyo page ya welfare economics, tuone kama inaeleza mwamba kupanda kwa mshahara ndio suluhisho la maisha bora kwa mtumishi
Sasa kwanini huwa wanapandisha mishahara? Yaani kwanini mshahara wa sasa hivi ni tofauti na ule wa mwaka 2005?
 
Wachawi nchi hii wapo wengi
Ni kweli mkuu, mfanyakazi wa hospitali ni rahisi kumwongezea mshahara kwasababu anazalisha pesa kwa kutibu wagonjwa, na kila mgonjwa anayetibiwa hospitali analipia huduma. Lakini mwalimu hazalizhi fedha yoyote zaidi anatumia fedha za serikali kulipwa mshahara, kununulia vitabu, chaki n.k. Kumwongezea mshahara inakuwa ni kazi kidogo, fedha ya kumwongezea unaitoa wapi hapo.
 
ni kweli mkuu, mfanyakazi wa hospitali ni rahisi kumwongezea mshahara kwasababu anazalisha pesa kwa kutibu wagonjwa, na kila mgonjwa anayetibiwa hospitali analipia huduma. Lakini mwalimu hazalizhi fedha yoyote zaidi anatumia fedha za serikali kulipwa mshahara, kununulia vitabu, chaki n.k. Kumwongezea mshahara inakuwa ni kazi kidogo, fedha ya kumwongezea unaitoa wapi hapo.
Unataka useme shule zifutwe maana hazizalishi kitu.Tubakiwe na mahospital na TRA pekee yake?
 
Kwanini mwanafunzi akienda shule hatoipesa nawakati anhudumiwa na mwalimu lakini mtoto huyohuyo akienda hospital analipa pesa ili apewe huduma na Doctor.

Eleza hili kwa weredi twende taratibu kabisa.

Darasani kidogo: Uzalishaji ni bidhaa au huduma people make some beautiful paper out there for just providing a service. swali langu juu kwanini Doctor na mwalimu wote wanatoa huduma lakini Doctor alipwe ila Mwalimu asilipwe.
 
Unataka useme shule zifutwe maana hazizalishi kitu.Tubakiwe na mahospital na TRA pekee yake?
Endelea kutafakari utapata majibu nini cha kufanya, lakini Kuongezewa mishahara kwa huduma inayotolewa bure ni ngumu hapa duniani because workers they don't provide any profit in terms of money.
 
Sasa kwanini huwa wanapandisha mishahara? Yaani kwanini mshahara wa sasa hivi ni tofauti na ule wa mwaka 2005?
Uliona wapi mshahara kupanda ikandionjia ya watu kufanikiwa kimaishaaa? Acheni ubishi. Kupanda itapandishwa hata ikifika bilioni kumi kwa mwezi, ilekuitwa mshahara sahau kutusua maishani. Hakuna mtu aliyewahi kufanikiwa kwa njia ya mshahara wa kulipwa mwisho wa mwezii..
 
Kwanini mtu afanikiwi kwa mshahara kuwa mkubwa, jibu lenye weredi tafadhari.
 
Back
Top Bottom