Kiongozi mkuu2020
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 1,748
- 998
Tufungulie hiyo page ya welfare economics, tuone kama inaeleza mwamba kupanda kwa mshahara ndio suluhisho la maisha bora kwa mtumishiUnabisha mpaka unakera.. hii issue ipo kwenye welfare economics.. na ina relate moja kwa moja .. ni mambo gani yafanyika kama cost of living adjustment na moja wapo ni kuongeza mishahara ... Sasa sijui unabisha nini
mchumi wa wapi wewe?Vitu upanda bei sababu ya supply kuwa ndogo,na si kwa kupanda kwa mshahara.Mafuta, sukari,vifurushi,nk bei juu Hali mshahara haijapanda mwaka wa 6 sasa
Hizo ni paper zimefanyiwa utafiti watu wakaja na findings.. ntakuwekea hapa list ukavichambueTufungulie hiyo page ya welfare economics, tuone kama inaeleza mwamba kupanda kwa mshahara ndio suluhisho la maisha bora kwa mtumishi
Uko sahihi, tatizo bwana huyu ametokea kuwachukia watumishi wa Umma.Alisema lakini sio haki na sio sahihi, kwa sababu hawa wafanyakazi wanazalisha kwa hiyo ni haki yao kupata nyongeza ya mshahara..
Ndo uchumi wa soko unavotaka na ndivo hata theory za wages zinasema, na ambazo zina justify ongezeko la mishahara
Tupe hizo paper za hao majaamaa. Na sisi tutaona mission zao katika hizo paper. Nasi pia tutawahoji, toka lini kupandishwa kwa mshahara kuwa eti ndio njia sahihi ya kuboresha maisha ya mtu??Hizo ni paper zimefanyiwa utafiti watu wakaja na findings.. ntakuwekea hapa list ukavichambue
Soma hii article kwanza, uelewe rationale ya cost of living adjustment halafu ndo tuendelee kuzungumza.Tupe hizo paper za hao majaamaa. Na sisi tutaona mission zao katika hizo paper. Nasi pia tutawahoji, toka lini kupandishwa kwa mshahara kuwa eti ndio njia sahihi ya kuboresha maisha ya mtu??
kwanini unasema hawazalishiusiwaweke walimu wa shule za serikali hapo maana hakuna wanacho zalisha huko mashuleni. Hivyo naikataa hiyo kanuni yako.
Jibu hoja vitu vimepanda bei mbona bila mishahara kupanda?mchumi wa wapi wewe?
Inasaidia kukopa bank, pension kubwa,na kuongeza motishaSubiri kupanda maradufu pindi tuu itakapotokea mishahara imepanda bei. Maisha yako hayatobadilika, kisa mshahara mkubwaaa. Kikubwa nikwamba, mshahara wako huo mdogo upangilie hivohivoo. Sasa mshahara milioni moja mfano, matumizi milioni mbili kwa mwezii, bado utaendelea kulalamika tuuu.
Kumbuka kwamba wanafanya uzalishaji na wanastahili kupata nyongeza ya mshahara.. hii ndo uchumi wa soko ulivo labda kama wewe ni mshamba
Nani katajirika kwa penshenii jaamaaniii???Inasaidia kukopa bank, pension kubwa,na kuongeza motisha
sasa wanazalisha nini?kwanini unasema hawazalishi
Doctor anazalisha ninisasa wanazalisha nini?
Dokta anazalisha pesa, wagonjwa wakienda hospital kuingia tu kumwona daktari ni pesa inaingia kwenye mfuko wa hospitali, kumtibu mgonjwa ni pesa nyingine hapo inaingia. Hizo fedha zote zinaingizwa serikalini, ndio hizo zinatumika kulipa mishahara yao na kupanua huduma za afya nchini.Doctor anazalisha nini